Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
the role of the diaspora in the development of madagascar has been discussed previously in the malagasy blogosphere.
dhima ya wamadagascar walio nchi za mbali kwa maendeleo ya nchi yao imewahi kujadiliwa hapo kabla katika ulimwengu wa wanablogu wa madagascar.
another area with a pressing need for action is maternal health, due to rapid population growth in madagascar.
sehemu nyingine yenye kuhitaji msisitizo wa haraka na kufanyiwa kazi ni afya ya uzazi, hii inatokana na ongezeko la haraka la idadi ya watu nchini madagaska.
a few days after passing madagascar, the official toll from the damages caused by cyclone fanele have finally come in.
baada ya siku chache kupita nchini madagaska, idadi rasmi ya madhara yaliyosababishwa na kimbunga kilichopewa jina la fanele zimewasilishwa.
in madagascar, 44,000 children under the age of five die each year, according to the latest unicef figures.
kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni za shirika la watoto duniani, unicef watoto 44,000 walio chini ya umri wa miaka mitano hupoteza maisha kila mwaka nchini madagaska.