Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
now that lugo has come forward and will accept responsibility, he writes that the issue is closed for the paraguayan people .
na sasa lugo amejitokeza na amekubali wajibu, anaandika kwamba suala hilo limefikia tamati kwa wananchi wa paraguai .
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
paraguayan president fernando lugo recently admitted that he is the father of viviana carillo's son, who was conceived when lugo was still a roman catholic bishop.
hivi karibuni rais wa paraguai fernando lugo alikiri kuwa yeye ni baba mzazi wa mtoto wa viviana carillo, mtoto ambaye alitungwa wakati lugo akiwa bado ni askofu wa kanisa katoliki la roma.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
he adds that there are more serious acts committed by other politicians that should receive more ire from the paraguayan citizens, and that the press should return to focusing on the "national agenda."
anaongeza kwamba kuna vitendo nyeti ambavyo vinatendwa na wanasiasa wengine ambavyo vinapaswa kusakamwa na wananchi wa paraguai, na kwamba vyombo vya habari virejee na kumakinikia yaliyomo kwenye "ajenda ya taifa"
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
a blog called somos paraguayos (we are paraguayans) invites immigrants across the globe to submit their firsthand stories about their experiences and the response from other paraguayans in the comments sections add to the conversation.
blogu inayoitwa somos paraguayos (sisi ni waparaguai) inawakaribisha wahamiaji duniani kote kuwasilisha simulizi za uzoefu wao na kujibiwa na waparaguai wengine katika safu za maoni.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: