Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
just last week, the united nations revised its death toll for the bloody conflict between forces loyal to president bashar al-assad and the factions that are opposed to his rule to more than 191,000.
wiki iliyopita, umoja wa mataifa ulitoa taarifa mpya ya idadi ya vifo inayofikia zaidi ya watu 191,000. vifo hivi vinatokana na ugomvi uliopo baina ya vikosi vya wanajeshi vinavyomtii rais bashar al-assad na vikundi vinavyopinga uongozi wake.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ip addresses inside the russian government continue to be active on wikipedia, where a computer at the russian secret service, the fso, revised the german entry for malaysia airlines flight 17, changing the word "separatists" into "rebels."
alama kadhaa za utambulisho wa kompyuta (ip address) ndani ya serikali ya urusi zimeendelea kufanya kazi kazi kwenye kamusi elezo ya wikipedia, ambapo kompyuta ya shirika la upelelezi la urusi, fso, ilihariri makala ya kijerumani kuhusu ndege ya shirika la ndege la malaysia mh17, ikibadili neno "wanaotaka kujitenga" kuwa "waasi."
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование