Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
the associated press reported one police officer was slightly injured.
associated press lilitaarifu kuwa, polisi mmoja alijeruhiwa kidogo katika tukio hilo.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
and if we had not fortified you, you would have been very slightly inclining towards them;
na lau kuwa hatukukuweka imara ungeli karibia kuwaelekea kidogo.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
what might result from a slightly more democratic, open, and participatory global media environment is not clear.
kile kitakachotokea kutoka katika mazingira ya uanahabari duniani yaliyo na demokrasia zaidi kidogo, yaliyo wazi na shirikishi bado hakijajulikana wazi.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
the role of the new media changed slightly this time compared to other dramatic events (like the protests in moldova or iran).
dhima ya vyombo vipya vya habari safari hii ilibadilika kidogo kulinganisha na matukio yenye kushangaza (kama maandamano ya kupinga utawala ya moldova au irani).
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
and if they were to be entered upon from the sides thereof and they were asked to sedition, they would surely have committed it, and they would have tarried therein but slightly.
na lau kuwa wangeli ingiliwa kwa pande zote, kisha wakatakiwa kufanya khiana, wangeli fanya, na wasingeli sita ila kidogo tu.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
far from making us a confident, innovative society willing to try new things and benefitting from experimentation, it has made us risk-averse and slightly paranoid.
mbali na kutufanya tuwe jamii yenye kujiamini, yenye ubunifu ambayo iko tayari kujaribu mambo mapya na kunufaika na majaribio hayo, imetufanya tuwe waoga wa kujaribu na wenye mashaka kiasi.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
moroccan blogger laila lalami, who is a us resident and admits to voting for obama, is slightly more hopeful, and glad obama's day has come:
bloga wa kimoroko laila lalami, ambaye ni mkazi wa marekani ambye anakiri kumpigia kura obama, kidogo ana matumaini zaidi na kuridhika kuwa siku ya obama imewadia:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
the npp maintains that results on the “blue sheet”, which they received at polling stations and collation centres across the country, where slightly change to favour candidate mahama of the ndc.
chama cha npp kinasisitiza kwamba matokeo yaliyokuwa kwenye "nakala za karatasi za bluu", ambayo yalipokewa katika vituo vyote vya kupigia kura na vile vya kuhesabia kura kote nchini, yalibadilishwa kidogo kumpendelea mahama wa chama cha ndc.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
with delicate fingers, she picked a small hot fish by the tail, dipped it slightly in a bowl of sauce, brought it close to her lips, blew on it to cool it down then swallowed it all, head, bones and tail like a true gourmet.
na vidole vyake laini, alichukua samaki wa moto mdogo kwa kumkamata mkiani, akamtosa kwenye bakuli la mchuzi, akamsogeza karibu na midomo yake, akapuliza ili ampoze halafu akammeza wote, kichwa, mifupa pamoja na mkia kama vile mtaalamu wa chakula wa kweli.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: