Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
subsidies
ruzuku
Последнее обновление: 2022-10-28
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
government subsidies have made the plants affordable.
ruzuku za serikali zimefanya vituo hivyo kuwa na gharama nafuu.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
president park is under fire for her retreat on campaign promises of higher pension and tuition subsidies.
rais park yuko kwenye wakati mgumu kwa r ahadi yake aliyoitoa wakati wa kampeni kuwa angepandisha ruzuku ya pensheni gharama za mafunzo.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
i did not rebel against morsi for the subsidies to be lifted or for the electricity to be cut or to donate .
sikuasi dhidi ya morsi kwa kuengeza ruzuku au kupunguza bei ya umeme au kutoa kwa hisani .
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
those figures are echoed in this reuters report, which states that the prices have been increased as the egyptian government "tries to cut energy subsidies to ease the burden on its swelling budget deficit."
takwimu hizo zimerudiwa tena kwenye taarifa ya shirika la habari la reuters, inayosema kwamba bei zimeongezwa kwa kile kinachosemekana kuwa serikali ya misri inajaribu kufuta ruzuku kwa nishati ili kupunguza mzigo kwenye bajeti yake yenye nakisi kubwa."
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
any developing country such as nigeria, wishing to develop its agricultural sector will focus direct government intervention to help farmers and boost food production on achieving steady supply of working capital, improve research and development, water supply, ensure low cost of fuel and labour, (corruption-free) subsidy on farming equipment and basic infrastructure.
nchi yoyote inayoendelea kama naijeria inayotaka kuendeleza sekta ya kilimo, italenga kuifanya serikali iingilie kati kusaidia wakulima kuongeza uzalishaji wa chakula, kuboresha utafiti na maendeleo, maji, kuhakikisha gharama ya chini ya mafuta na kazi, ( bila rushwa) pia ruzuku kwa kilimo vifaa na miundombinu ya msingi.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник: