Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
connectas appears in a moment where many opportunities converge in the region, and a need of information of their reality with a transnational prospect.
connectas inajitokeza kwenye mkutaniko wa fursa nyingi katika eneo hilo, na hitaji la taarifa zenye ukweli wenye manufaa ya mataifa ya bara hilo.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
land grabbing is the contentious issue of large-scale land acquisitions; the buying or leasing of large pieces of land in developing countries by domestic and transnational companies, governments, and individuals
unyang’anyi wa ardhi ni suala tete linalohusu umilikishaji wa maeneo makubwa ya ardhi; ununuzi au kukodisha maeneo makubwa ya ardhi katika nchi zinazoendelea unaofanywa na makampuni ya nyumbani au ya kimataifa, serikali au watu binafsi.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
in the americas, in spite of being a region with similar cultural, historic and linguistic features, of having an active civil society and a growing number of intergovernmental businesses and organizations, there is not enough information with a transnational perspective in the region.
katika nchi za amerika kusini, pamoja na kuwa kwenye eneo lenye utamaduni unaofanana, historia na hata lugha, lenye taasisi za kiraia zilizo hai na pia kuongezeka kwa biashara za baina ya serikali moja na nyingine, hakuna taarifa za kutosha na zenye kunufaisha mataifa hayo kwenye eneo hilo.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: