Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
during my trip to yaounde this week i went to buy apples, twice.
wakati wa safari yangu ya yaounde juma hili nilienda kununua matofaa mara mbili.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
a study conducted by the polytechnic national high school of yaounde outlined that:
utafiti uliofanywa na shule ya sekondari ya ufundi ya younde ulibainisha kwamba:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
i served at the u.s. embassy in yaounde when biya first became president in 1982.
nilifanya kazi kwneye ubalozi wa marekani jijini yaounde wakati ambao biya aliingia madarakani mwaka 1982.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
but the beautiful twist in her story is that some of the thieves in yaounde could be really "kind".
lakini jambo zuri kwenye habari yake ni kwamba wezi wengine mjini yaounde wanaweza kuwa ‘wakarimu’.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
this post also links to another blog by an expertriate family sander elke en milan that has has photos of the destruction to roadside shops in the streets of yaounde.
makala hii kadhalika inaunganisha blogu nyingine ya familia ya mfanyakazi kutoka nje sander elke en milan ambayo ina picha ya uharibifu wa maduka yaliyoko kandokando ya barabara kwenye mitaa ya yaounde.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
bandits even stormed the national headquarters of the police and the ministry of external relations (foreign affairs) in the capital city, yaounde.
majambazi wameweza hata kuyavamia makao makuu ya taifa ya polisi na wizara ya mambo ya nje katika mji mkuu wa yaounde.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
...i saw another man with an apple cart outside of a white person store in downtown yaounde (that was mistake one, trying outside a white person store).
…nilimuona mtu mwingine akiwa na mkokoteni wa matofaa nje ya duka la mzungu kwenye mtaa mwingine mjini yaounde (hilo lilikuwa kosa la kwanza, kujaribu nje ya duka la mzungu).
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: