Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
as many as i love, i rebuke and chasten: be zealous therefore, and repent.
mimi ndiye mwenye kumwonya na kumrudi yeyote ninayempenda. kwa hiyo kaza moyo, achana na dhambi zako.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
—it is they who are zealous in [performing] good works and take the lead in them.
basi wote hao ndio wanao kimbilia katika mambo ya kheri, na ndio watakao tangulia kuyafikia.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
even so ye, forasmuch as ye are zealous of spiritual gifts, seek that ye may excel to the edifying of the church.
hali kadhalika na ninyi, maadam mna hamu ya kupata vipaji vya roho, jitahidini hasa kujipatia vile vinavyosaidia kulijenga kanisa.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
who gave himself for us, that he might redeem us from all iniquity, and purify unto himself a peculiar people, zealous of good works.
yeye alijitoa mwenyewe kwa ajili yetu ili atukomboe kutoka katika uovu wote na kutufanya watu safi walio wake yeye mwenyewe, watu walio na hamu ya kutenda mema.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
since the disbelievers held zealous ignorance in their hearts, like that of the pre-islamic age of darkness, god gave confidence to his messenger and to the believers, binding them to the principle of piety which they deserve.
pale walio kufuru walipo tia katika nyoyo zao hasira, hasira za kijinga, mwenyezi mungu aliteremsha utulivu juu ya mtume wake na juu ya waumini, na akawalazimisha neno la kuchamngu. na wao walikuwa ndio wenye haki nalo na wenye kustahili.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
and when they heard it, they glorified the lord, and said unto him, thou seest, brother, how many thousands of jews there are which believe; and they are all zealous of the law:
waliposikia hayo, walimtukuza mungu. kisha wakamwambia paulo, "ndugu, unaweza kuona kwamba kuna maelfu ya wayahudi ambao sasa wamekuwa waumini na wote hao wanashika kwa makini sheria ya mose.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование