Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
no está pidiendo un sueldo mayor.
wala hadai mshahara mnono zaidi.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
los manifestantes están pidiendo libertad y que se respeten sus derechos.
waandamanaji wanapigania uhuru wa kuishi watakavyo na kushinikiza haki ya kuheshimiwa.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
gazeta.pl publica una encuesta sobre el tema, pidiendo la opinión del público.
gazeta.pl imeweka tafiti juu ya mada hiyo, ikiutaka umma kutoa maoni yao.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
estoy pidiendo una intuitiva opinión bien informada; busco a alguien que hable coherencias.
ninaomba maoni yenye weledi na ujuzi; ninatafuta mtu atakayeongea kwa mantiki.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
anil netto también publicó un vídeo para los votantes de penang, pidiendo un cambio para el país.
anil netto pia aliweka video ya wapiga kura huko penang wakitoa wito kwa mabadiliko katika nchi.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
continúan las protestas masivas pidiendo al presidente egipcio mohamed morsi que deje el cargo en todo egipto por tres días.
maandamano makubwa ya kumtaka rais wa misri mohamed morsi ajiuzulu yanaendelea nchini misri kwa siku ya tatu sasa.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
en diferentes lugares del reino las familias de los detenidos pusieron fotos y carteles pidiendo la liberación de sus parientes.
sehemu mbalimbali za dola hiyo, familia za watu wanaoshikiliwa wananing’iniza picha na ishara kama namna ya kushinikiza ndugu zao waachiwe huru.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
esta fotografía tomada por rebellious feb14 es de una protesta en budaiya, bahréin el 18 de mayo de 2012 pidiendo por su liberación.
picha hii iliyopigwa na rebellious feb14 ni ya maandamano ya budaiya, bahrain, yaliyofanyika mei 18, 2012 kudai kuachiliwa kwake.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
marcha de protesta en el reino unido pidiendo la erradicación del centenario sistema de castas que existe en el subcontinente indio entre comunidades de extranjeros.
maandamano nchini uingereza kudai kufutwa kwa mfumo wa kuoana kimatabaka uliodumu karne nzima na unaendelea uhindini pamoja na kwenye jamii nyingine.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
al día siguiente, el 8 de julio, llegó la policía a rodear la casa pidiendo nuevamente que la familia entregara al hijo que hizo el video.
siku iliyofuata, yaani julai 8, polisi walifika tena na kuizingira nyumba wakishinikiza kujitokeza kwa mtoto aliyechukua video ya mahojiano.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
afiches pidiendo la liberación de cuatro detenidos políticos del caso del consejo de la shura que no fueron incluidos en un indulto presidencial aparecieron en el cairo el martes 27 de octubre.
mabango yakitoa wito wa kuachiliwa kwa wafungwa wanne wa kisiasa waliobaki katika kesi ya baraza la shura ambao hawakupata msamaha warais uliotangazwa jijini cairo leo.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
el 30 de junio, los ciudadanos de egipto tomaron las calles pidiendo que el presidente mohamed morsi, candidato de la hermandad musulmana, se retire.
tarehe 30 juni, raia wa misri waliandamana wakishinikiza kuondoka madarakani kwa kiongozi wa chama cha kindugu cha kiislam (muslim brotherhood0na rais wa misri mohamed morsi.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
- la insistencia de las autoridades de silenciar a cualquiera que alce la voz pidiendo sus derechos en el país para que el contagio de revolución no se difunda y las cosas no se salgan de control.
-msisitizo wa mamlaka wa kumnyamazisha mtu yeyote mwenye kuibua sauti yake na kudai haki zake katika nchi ili kuzuia migogoro hiyo isisambae mahali pengine kiasi cha kufikia hatua ya kutodhibitika.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
la acción tuvo el respaldo del movimiento euromaidán, que ya dura tres meses, y que ha estado protestando a diario en varias ciudades a lo largo de ucrania pidiendo la salida del gobierno del presidente viktor yanukovych.
hatua hiyo iliungwa mkono na harakati za euromaidan ambazo kwa sasa zimetimiza miezi mitatu, ambazo zinaendesha maandamanokila siku kwenye majiji kadhaa kote nchini ukraine kudai serikali ya rais viktor yanukovych kuondoka madarakani.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
aban idrees presenció una protesta en hebrón y tuiteó : en hebrón, el tráfico está absolutamente paralizado luego de las protestas contra el alto costo de vida, pidiendo al gobierno de fayyad que renucie.
aban idrees alishuhudia maandamano jijini hebron na alitwiti: jijini hebron, magari yamezuiwa kuendelea na safari kabisa baada ya maandamano ya kupinga mfumuko wa bei za bidhaa wakishinikiza serekali ya fayyad kujiuzulu.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
los manifestantes están pidiendo la nacionalización de las tres empresas de servicios públicos de bulgaria – cez, evn y energo-pro, con la empresa eléctrica nacional, nek .
waandamanaji wanataka makampuni matatu nchini bulgaria ambayo ni cez, evn na energo-pro yataifishwe na shirika la shirika la taifa la umeme.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
la marcha del 12 de marzo contra el gobierno terminó sin incidentes después que los camisas rojas o red shirts (ing) anunciaran que volverían a la calle este fin de semana pidiendo siempre la disolución del parlamento y la organización de nuevas elecciones.
maandamano ya kuipinga serikali ya machi 12 yalimalika salama huku kundi la mashati mekundu likiapa kurejea tena mitaani mwishoni maw juma hili ili kuendelea kushinikiza kuvunjwa kwa bunge na kuitisha uchaguzi mkuu.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
el objetivo de somalia habla es agregar las voces no escuchadas desde el interior de la región, así como de la diáspora somalia pidiendo que respondan a través de mensaje de texto: ¿cómo ha afectado el conflicto de somalia de su vida?
lengo la somalia speaks ni kukusanya sauti ambazo hazisikiki kutokea ndani ya eneo vile vile kutokea kwa wasomali walio ughaibuni kwa kuuliza kupitia ujumbe mfupi wa simu za mkononi: kwa jinsi gani mgogoro wa somalia umekuathiri?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: