Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
non credo che ci sarà una primavera politica in cambogia, né che sia quello di cui la cambogia ha bisogno... manca perfino una parola con quel preciso significato in khmer.
sidhani kuwa mapinduzi ya cambondia yatatokea, na wala sidhani yanahitajika...hatuna hata neno muafaka kwa mapinduzi kwa lugha ya khmer.
abbiamo scelto e raccolto i migliori post del nostro speciale sull'europa in crisi lanciato nella primavera del 2011, e curato dal nostro team dedicato di cittadini-giornalisti.
tulichakua kwa makini kabisa makala zilizokuwa bora zaidi kutoka katika mfululizo wetu wa kuhusu mgogoro wa kiuchumi wa ulaya ambapo mfululizo huo ulianza majira ya machipuo ya 2011, na kuandikwa na vikundi vya waandishi wetu wa kimataifa wanaofanya kazi kwa bidii kama waandishi wa kiraia.
e' questo l'ultimissimo ruolo attribuito ai social media che si erano già guadagnati l'apprezzamento globale per aver diffuso notizie e mobilitato cittadini durante tutta la primavera araba.
hili ni jambo jipya kabisa katika mitandao ya kijamii ambavyo hadi sasa vimeshajizolea umaarufu mkubwa mahali mbalimbali duniani kwa kufanya kazi kubwa ya kusambaza habari na kuwaunganisha raia kwa urahisi hasa katika zama hizi za mageuzi katika nchi za kiarabu.
dall'inizio del conflitto armato siriano, così come è successo per altre sommosse della primavera araba, è aumentato il numero di citizen journalist che vogliono segnalare le notizie sull'attuale guerra tra le forze governative e antigovernative direttamente dal luogo di svolgimento; molti di loro sono stati arrestati, torturati e persino assassinati mentre cercavano di far conoscere al mondo la storia della rivoluzione.
mgogoro wa syria, kama vile mapinduzi mengine yaliyozikumba nchi za kiarabu, zimesababisha kuongezeka kwa waandishi wa habari za kiraia wanaoripoti kutoka katika kwenye uwanja wa vita kuhusu mgogoro unaoendelea kati ya majeshi yanayounga mkono serikali na yale ya waasi. wengi wamekuwa kizuizini, kuteswa, na hata kuuawa wakiwa katika jitihada za kuutangazia ulimwengu habari za mapinduzi.