Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
wakati wowote unapomwona mzee amekaa mwenyewe, mtazame kwa mara ya pili!!
whenever you see an elder person sitting all alone, look again!
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
@jenanmoussa: jijini aleppo nilimwona baba amekaa kwenye jabali, akitiririkwa na machozi.
@jenanmoussa: in #aleppo i saw a father sitting on rubble, tears in his eyes.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
siku moja, sam alipokuwa akila ndizi pembeni mwa duka lake, akamwona msichana mrembo mzungu amekaa kulia mwa matatu.
one fine day, as sam was having a banana next to his shop, he spotted a beautiful white lady seated on the right hand side of the matatu.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
lakini stefano akiwa amejawa na roho mtakatifu, akatazama juu mbinguni, akauona utukufu wa mungu na yesu amekaa upande wa kulia wa mungu.
but he, being full of the holy ghost, looked up stedfastly into heaven, and saw the glory of god, and jesus standing on the right hand of god,
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
watu wengi kutoka katika vyombo vya kufanyia maamuzi waliunga mkono maandamano haya, lakini dr. muhammad yunus aliyetunukiwa tuzo ya nobeli hadi sasa bado amekaa kimya.
many people across the board have supported the cause but nobel laureate dr. muhammad yunus is keeping mum so far.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
naye alipomwona huyo mtu amelala hapo, akatambua kwamba alikuwa amekaa hapo kwa muda mrefu, akamwuliza, "je, wataka kupona?"
when jesus saw him lie, and knew that he had been now a long time in that case, he saith unto him, wilt thou be made whole?
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
baadaye, yesu alikuwa amekaa mezani, nyumbani kwa lawi, kula chakula. watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuwa wamemfuata yesu na wengi wao wakawa wamekaa mezani pamoja naye na wanafunzi wake.
and it came to pass, that, as jesus sat at meat in his house, many publicans and sinners sat also together with jesus and his disciples: for there were many, and they followed him.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
ndugu zake abdujalilova (kwa mujibu wa maelezo yake ya utambulisho kwenye facebook ameolewa, na asasi ya haki za binadamu imemtaja dada yake abdujalilova ambaye ndiye aliyeuona ujumbe wa kujiua ulioachwa na mdogo wake) nae pia amekaa kimya.
abdujalilova’s relatives (according to her facebook profile she is married, and human rights alliance mentioned abdujalilova’s sister who allegedly found her suicide note) have also kept silent.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
wakati shughuli za kutoa misaada zinaendelea na kila mtu ameingilia katika kutoa mkono wa msaada, mi muhimu pawepo na mtu amekaa nyuma, kuangalia nini kilichotokea na utafiti wa nini kilichokwenda mrama, kile kisichokwenda ipasavyo na nini cha kufanya ili kuzuia cha kuzuilika, kujiandaa kwa matukio yanayoweza kuepukika na kutoa rasilimali kwa yanayoweza kufanyika.
ruffy biazon, a government official, writes what he thinks should be done soon: while the relief operations are ongoing and everyone is pitching in to lend a helping hand, there should be someone stepping back, taking a look at what has happened and study what went wrong, what should have been done and what to do to prevent the preventable, prepare for the inevitable and provide resources for the doable.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: