Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
wakati eman al-qaffas anabaini:
while eman al-qaffas noted:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
limpeh anabaini ongezeko kubwa la taasisi za eleimu ya juu nchini singapore.
limpeh noted the proliferation of higher education institutions in singapore.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kuhusu kukosekana kwa mabandiko kwenye ukurasa wa facebook wa sata, sikota anabaini kwa hali ya masihara:
on sata’s facebook hiatus, sikota observed with a touch of sarcasm:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
neumann pia anabaini kuwa mwaka 2009 pia ulishuhudia kupitishwa kwa vigezo vya kupima vyenye kasoro ambavyo havizitaki nchi wanachama kupata mapendekezo kutoka kwa asasi huru zisizo za kiserikali zenye makao ndani ya nchi wanachama.
neumann also notes that 2009 saw the passing of a flawed review mechanism which doesn't require member states to seek input from independent ngo's based in their countries.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
joanne sprague, anayeblogu kwenye overturning boulders nchini india, anabaini kuwa wanawake hawapo kwenye mzunguko wa kwenda haja asubuhi mijini chennai, wakati huko ethiopia blogu ya an adventure in addis inabaini hali kama hiyo pia:
joanne sprague, blogging on overturning boulders in india, observes that women are absent from the morning toilet run in chennai, while in ethiopia the blog an adventure in addis notices a similar situation:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: