Вы искали: burma (Суахили - Английский)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

Swahili

English

Информация

Swahili

burma

English

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

alimtaja win tin kama 'mwandishi wa habari hodari katika burma':

Английский

he called win tin ‘the most valiant journalist in burma’:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

kama harakati ya kuanzisha burma huru zikiendelea, hebu tumuenzi mtu aliyejitolea maisha yake kwa sababu hiyo.

Английский

as the movement to establish a free burma continues, let us pay homage to a man who dedicated his life to the cause.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

tovuti ya the democratic voice of burma iliweza kufuatilia na kurekodi dakika chache za kwanza za kuachiwa kwake.

Английский

the democratic voice of burma was able to document the first few minutes of her release.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

u win tin aliongoza kizazi chote cha wanaharakati ambao walikubali wito wake na mapambano ya kufanya burma kuwa na haki za kuheshimu demokrasia.

Английский

u win tin inspired an entire generation of activists who have taken up his call and struggle to make burma a rights-respecting democracy.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

wakati wengi walikuwa wanapongeza maendeleo ya hivi karibuni nchini burma, tulihitaji win tin kutukumbusha ukweli wa dosari ya mchakato wa mageuzi ya nchi.

Английский

when many were applauding the recent progress in burma, we needed win tin to remind us of the sober reality of the country’s flawed reform process.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

kitabu, burma katika wakati wa mpito, kitaonyesha picha za meiktila mahali ambapo hiller alitembelea kabla ghasia kuibuka mjini humo:

Английский

the book, burma in transition, would also feature photos of meiktila which hiller visited before riots erupted in the town:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

baada ya safari ya kuchosha, sikushangazwa na watawa, ila nyuso ya wananchi wa burma, zilizochorwa kwa rangi nyeupe, mara nyingi zenye tabasamu.

Английский

after a frenetic trip, it wasn’t so much the monks and pagodas that haunted me, but the faces of the burmese, painted in white, often smiling.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

mategemo ya uhuru wa suu kyi yalitiliwa mashaka baada ya mahakama ya juu nchini burma kukataa rufaa yake ya mwisho dhidi ya kifungo cha nyumbani ijumaa, na kuwafanya watu wawe na wasiwasi kuwa angeachiwa au la.

Английский

suu kyi's impending freedom was later doubted when the burmese top court rejected her final appeal against her house arrest this friday, making the people anxious whether she will be released or not.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

burma ina ushirikiano mzuri na mashirika binafsi pamoja na umoja wa mataifa na ndio sababu hakuna haja ya siasa za mseto kama lengo kuu la oic ni kusaidia tu chakula, malazi, huduma za afya na ulinzi kwa waislamu.

Английский

burma has full cooperation with ngos and un which is why no more political coalition is needed if oic's pure intention is to provide only food, shelter, health care service and security for muslims.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

kiongozi wa upinzani na alama ya wapenda demokrasia nchini burma, aung san suu kyi aliachiwa huru kutoka kizuizini mchana siku ya jumamosi na serikali inayoungwa mkono na jeshi la myanmar baada ya kuendeshwa kwa uchaguzi wa taifa ambao ulitawaliwa na wagombea wanaoungwa mkono na serikali.

Английский

burmese pro-democracy icon and opposition leader aung san suu kyi was released from detention by the military-backed government of myanmar saturday afternoon, a week after the holding of a nationwide election which was dominated by pro-administration candidates.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

@ali4592000: una hasira kuwa waumini wa kiislam wa sunni wanauawa huko burma na kuwa na furaha kuwa waumini wa kiislam wa shia wanachomwa moto wakiwa hai nchini misri na kisha miili yao kunajisiwa?

Английский

@ali4592000: are you angry that sunni muslims are being killed in burma and happy that shia muslims are being burnt alive in egypt and their corpses defiled?

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,746,483,751 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK