Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
kadri ya garimoshi lilivyoongeza mwendo, watu wawili walianguka kupitia mlangoni, chupuchupu kupoteza maisha.
as the train gathered speed quickly, some people fell from the door and two persons were miraculously saved from death.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
katika ukurasa wa twita, ali alitaarifu kuwa, aliponea chupuchupu kwenye tukio la mlipuko mabomu wa kwanza huko quetta:
on twitter, ali reported narrowly escaping the first bombing in quetta:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
@khudiali : #quetta, nilikuwa ninaelekea nyumbani na ndipo nikaponea chupuchupu kwenye mlipuko wa bomu lililoua watu 11.
@khudiali : #quetta, was on the way to home nearly escaped from bomb blast 11 ppl dead.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
simulizi hii inatoka kwa endalk chala, mmoja wa waanzilisji wa muungano wa wanablogu wa zone9 ambaye aliponea chupuchupu kukamatwa kwa sababu zilizotajwa kuwa alikuwa nchini marekani, anasomea shahada ya uzamivu ya masuala ya habari.
this story comes from endalk chala, a founding member of the zone9 collective who was spared arrest on account of being in the united states, where he is pursuing a phd in media studies.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
pumzika kwa amani. @khudiali rt @khudiali #quetta, alikuwa akielekea nyumbani na aliponea chupuchupu kwenye mlipuko wa mabomu ulioua watu 11
ali cldnt survive the 2nd blast tonite.rip @khudiali rt @khudiali #quetta,was on the way to home nearly escaped 4m bomb blast 11 ppl dead his killing has sparked a tribute to his struggle and reignited protests on shia killings in pakistan.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: