Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
ndege hii ilikuwa ya abiria.
this is a passenger plane.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hifadhi ya gari ya silaha
an armoured car depository
Последнее обновление: 2023-05-31
Частота использования: 1
Качество:
serikali za marekani na canada zinapendekeza kuepuka kusafiri kwa meli ya abiria.
the u.s. and canadian governments recommend avoiding travel by cruise ship.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
ndege za f-16 zinapiga hivi sasa. na mlio wa gari ya wagonjwa ni mkubwa.
f16 is shelling right now. and the sound of the ambulance is loud.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mijadala ya mtandaoni nchini korea kusini imefurika salamu za rambirambi kwa waathirika na wapendwa wao pamoja na hasira kali dhidi ya nahodha na wafanyakazi ambao waliokolewa mapema zaidi kabla ya abiria.
south korean online venues have been inundated with messages of condolences for the victims and their loved ones and intense anger against the captain and crew members who evacuated early , well before most of the passengers.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
feri ya korea kusini iliyokuwa inaelekea kwenye kisiwa cha mapumziko ilizama mnamo aprili 16, 2014 na mamia ya abiria, ikiwa ni pamoja na wanafunzi 325 wa shule ya sekondari waliokuwemo.
a south korean ferry heading to a resort island sank on april 16, 2014 with hundreds of passengers, including 325 high school students, on board.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwa mfano, wauzaji hawauzi tiketi kutoka uchina hadi marekani (hiyo ni kwa sababu ya kuepuka kukiuka vikwazo na kushindwa kupata ndege ya abiria ya kutoka)
for instance, most aggregators are not selling tickets from china to the united states (presumably to avoid falling afoul of restrictions and being on the hook for a passenger's flight out).
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество: