Вы искали: hudhuria kinyume chake nini nini (Суахили - Английский)

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

hudhuria kinyume chake nini nini

Английский

what is the opposite of attendance

Последнее обновление: 2023-08-21
Частота использования: 2
Качество:

Суахили

injika kinyume chake ni

Английский

curve and vice versa are

Последнее обновление: 2022-07-08
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

je, inawezekana ikachochea misuguano ya kidini au kinyume chake?

Английский

is it likely to exacerbate and make more deadly sectarian cleavages or the opposite?

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

maana yake nini nini

Английский

diana maana yake nini

Последнее обновление: 2018-12-05
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

historia inatuambia kwamba watu hawakui kuupenda na kuuenzi udikteta isipokuwa kinyume chake.

Английский

history tells us that people do not grow to love and cherish dictatorships but rather the opposite.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

@el_shazli: zingatia kila neno linaloandikwa katika kiungo habari hiki na kisha ufanye kinyume chake.

Английский

@el_shazli: focus on every word written under this hash tag and do its opposition.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

kinyume chake, alisisitiza kuwa nchi ingaliweza kunufaika zaidi kifedha na hii ineipa nchi nafsi kubwa ya kunufaika katika mkataba huu."

Английский

instead, he insisted that the government was likely to earn more money and that it stood a higher chance to benefit from the contract."

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Суахили

kama wanaweza kujifunza kuchukia, basi wanaweza kufundishwa kupenda, kwa sababu kwa kawaida ni asili yake upendo kuja kwa moyo wa mwanadamu kuliko kinyume chake

Английский

"if they can learn to hate, they can be taught to love, for love comes more naturally to the human heart than its opposite.” #nelsonmandela — john roberts (@johnrobertsfun) december 6, 2013

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Суахили

lakini ninachokiona kwenu ni ubeuzi tu kwenye mbinu mnayotumia ambayo kwangu naiona kama isiyo na faida yoyote na ni ya kitoto...mnaweza kunishawishi kinyume chake?

Английский

but i only see nihilism in your approach which i find destructive and childish...could you convince me of the opposite?

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

kinyume chake, virusi vya sars-cov na mers-cov ambavyo husambazwa zaidi havijazoeleka vyema kwa binadamu na uenezi wake miongoni mwa binadamu hauwezi kudhibitiwa.

Английский

in contrast, highly pathogenic sars-cov and mers-cov have not adapted to humans well and their transmission within humans cannot be sustained.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

kinyume chake, ikiwa virusi vya hcov vimeingia kwa mara ya kwanza ndani ya mbebaji wa kati kabla au karibu kuingia kwake kwa binadamu, huwa havijazoeleka vyema katika mazingira hayo mapya na mara nyingi husababisha ugonjwa.

Английский

in contrast, if the hcov is newly introduced to an intermediate host right before or around its introduction to humans, it is not well adapted to the new host and is often pathogenic.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

kile tunachokiona kwenye takwimu nikwamba wale wanaojaribu kuondoa ukomo kwa wakuu wa nchi za afrika wana uwezekano mkubwa wa kufanikiwa kuliko kinyume chake (tisa wamefanikiwa, sita wameshindwa).

Английский

so what we see in the existing data is that conditional on *overtly* trying to scrap term limits african heads of state are more likely to succeed than not (9 successes, 6 failures).

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

@chikwe1: ban ki moon kama kupinga ushoga #homosexuality kunanifanya #mshamba basi ni afadhali #niishi na #kufanikiwa mshamba kuliko kinyume chake.

Английский

@chikwe1: ban ki moona if denouncing #homosexuality makes me a #savage then i'd rather #live and #die a savage than otherwise.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

gazeti tando moja linalokwenda kwa jina la linatupa muhtasari makini kuhusu msukumo wa minong’ono hiyo katika sentenso moja: 'simu inaita – mushy anaondolewa madarakani kwa manufaa ya umma … tazama geo (kituo kimoja cha televisheni) … sasa hivi' wapo waliotuaminisha kwamba huyu jamaa anayekwenda zake angejaribu kujitetea ili abaki madarakani, wapo waliotabiri kwamba huenda angerejesha mfumo wa mahakama kama njia yake pekee ya kujinusuru na kulipiza kisasi; kinyume chake hali imegeuka kuwa hotuba ya kuagia, akiachia mambo mbele ya watu wake wa karibu waliokuwa wakilengwalengwa na machozi, hali ambayo tunahabarishwa kupitia kwamba ‘akiwa amevaa uso usio na tabasamu musharraf, huku akipepewa na bendera za pakistani nyuma yake na picha ya ‘mwanzilishi’ wa taifa hili aliishia kusema “naweka hatma yangu mikononi mwa umma.”

Английский

deadpan thoughts quite easily summarizes the roller coaster of rumors in one sentence saying "the phone beeps - mushy’s being impeached..go put on geo ..now". some had us believing that this outgoing chap would go down fighting while some on the other hand conspired for the restoration of judiciary as his last vengeance but in the end it fizzled out to be a valiant outgoing speech, throwing in the towel before his tearful adios which siam's blog shares 'a grim-faced musharraf backed by pakistani flags and a portrait of the country's founder' to say "i leave my future in the hands of people."

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,772,732,226 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK