Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
kupeleka barua sehemu mbali mbali ikiwemo mkoani na posta
sending letters to various places including the region and the post office
Последнее обновление: 2021-08-21
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kukagua miradi mbalimbali inayoendelea kwenye kata ikiwemo mradi wa soko la kisasa
inspecting various ongoing projects in the county including a modern market project
Последнее обновление: 2021-11-12
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
wahusika wake kutoka uingereza na india walitia kapuni zawadi 8 ikiwemo ile ya picha bora.
its british and indian crews bagged 8 awards including the best picture award.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
hii ilikuwa ni timu ya wapasuaji 11, wanaofanya kazi za kibinadamu katika nchi mbalimbali duniani, ikiwemo madagaska.
this was a team made up of 11 surgeons, doing humanitarian work across several countries in the world, including madagascar.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
barua pepe hiyo iliwataja wanablogu wane ikiwemo taarifa ya blogu kumuhusu asif mohiuddin, na kutushauri kuziondoa moja kwa moja blogu hizi haraka iwezekanavyo.
the email named four bloggers, including asif mohiuddin's blog profile, and advised us to permanently remove all of these blogs immediately.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
watawa wameripotiwa kushiriki katika matukio kadhaa yaliyohusisha utumiaji nguvu au utovu wa nidhamu ikiwemo kushiriki tendo la ngono au kutazama picha na video za ngono.
on several occasions, monks have been found of engaging in violent behavior or misconduct including having sex or watching pornography.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
alikuwa mwanzilishi wa miradi kadhaa ya uanahabari wa kiraia ikiwemo talk morocco na mamfakinch, na pia alifanya kazi kama mkurugenzi wa kitengo cha utetezi cha global voices.
he co-founded citizen media projects talk morocco and mamfakinch, and served as global voices’ advocacy director.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
tuzo ya nobel kwa malala itapeleka ujumbe wa moja kwa moja kwamba ulimwengu unafuatilia na kuwasaidia wale wanaotetea usawa wa kijinsia na haki za binadamu, ikiwemo haki ya elimu kwa wasichana.
a nobel peace prize for malala will send a clear message that the world is watching and will support those who stand up for gender equality and universal human rights, including the right to education for girls.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kwa kawaida majaribio ya awamu ya iii yanahusisha washiriki zaidi, ikiwemo kikundi cha kudhbiti, na kupima ufanisi wa chanjo ya kuzuia ugonjwa huo, wakati ikifuatilia athari mbaya kwa kipimo bora kabisa.
phase iii trials typically involve more participants, including a control group, and test effectiveness of the vaccine to prevent the disease, while monitoring for adverse effects at the optimal dose.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
badala ya kutumia programu moja, mfumo ulikusanya maelezo ya utafutaji kutoka kwa vyanzo anuwai ikiwemo data ya utafutaji wa kifaa cha mkononi na data ya manunuzi ya kadi, na kujumuisha hizi kutoa arifa kupitia ujumbe wa maandishi kwa watu wanaoweza kuwa wameambukizwa.
instead of using a dedicated app, the system gathered tracking information from a variety of sources including mobile device tracking data and card transaction data, and combined these to generate notices via text messages to potentially-infected individuals.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
ross anderson, profesa wa uhandisi wa usalama katika chuo kikuu cha cambridge university, aliorodhesha matatizo kadhaa ya kiutendaji ya mifumo ya programu, ikiwemo maoni mazuri ya uongo na ukosefu unaowezekana wa ufanisi ikiwa matumizi ya programu imezuiwa kwa idadi ndogo ya watu.
ross anderson, professor of security engineering at cambridge university, listed a number of potential practical problems with app-based systems, including false positives and the potential lack of effectiveness if takeup of the app is limited to only a small fraction of the population.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
baadhi ya uchunguzi wa mapema wa remdesivir unaonyesha kuwa inaweza kuwa kizuizi kikubwa cha jenitiki. kuna majaribio kadhaa ya kliniki yanayoendelea, ikiwemo mbili yanayofanywa na hospitali za chuo kikuu cha cleveland, moja kwa ajili ya watu wenye magonjwa ya wastani na nyingine kwa watu wenye ugonjwa mkali zaidi.
some early pretrial studies suggest remdesivir may have a high genetic barrier to resistance.there are several clinical trials underway, including two conducted by cleveland university hospitals; one for people with moderate illness and another for those with more severe illness.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
bw mousavi, ambaye ni kiongozi wa upinzani, hivi karibuni alilazwa hospitalini baada ya kupata matatizo ya moyo kufuatia miezi 15 ya kifungo cha nyumbani ...matamanio ya kidemokrasi na madai ya haki ya watu wa iran yanastahili kuungwa mkono na jumuiya ya kimataifa, ikiwemo umoja wa mataifa na katibu wake mkuu.
mr mousavi, the opposition leader, was recently hospitalized due to heart complications after 15 months of house arrest...the democratic aspirations and the just demands of the iranian people deserve the support of the international community, including the united nations and the secretary general.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник: