Вы искали: ikizingatiwa (Суахили - Английский)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

Swahili

English

Информация

Swahili

ikizingatiwa

English

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

hili lina matazamio makubwa ikizingatiwa #nigeriadecides — 'gbénga sèsan (@gbengasesan) february 7, 2015

Английский

this has a lot of implications regarding #nigeriadecides — 'gbénga sèsan (@gbengasesan) february 7, 2015

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

hasira ya watu hao iliwashangaza wengi, hasa ikizingatiwa kuwa vyama vya upinzani vinaonekana kuwa bado dhaifu kwenye mji huo na pia kwa vile vyombo vingi vya habari vinaonekana kushambikia serikali kwa kuwa vinapokea ruzuku ya serikali.

Английский

the public outrage has surprised many, given opposition parties are rather weak in the casino city and major mainstream media outlets are pro-government mouthpieces and sponsored by the government.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

ikizingatiwa kuwa lowassa anaungwa mkono na watu wengi, hususani vijana, hii ni mara ya kwanza katika historia ya siasa ya mfumo wa vyama vingi kwa upinzani nchini tanzania kuwa na nafasi kubwa ya kushinda nafasi ya kiti cha urais.

Английский

given that lowassa commands huge support, especially from young people, this is the first time during the history of multiparty politics that the country's opposition has a genuine chance of winning.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

baadhi ya wanablogu walinyooshea kidole kejeli ya serikali ya kuwanyunyuzia waandamanaji rangi ya waridi – rangi ambayo mara nyingi huhusishwa na jamii ya mashoga na wasagaji – ikizingatiwa kuwa muswada unaopinga ushoga hivi sasa unapitiwa ndani ya bunge la uganda.

Английский

some bloggers pointed out the irony of the government spraying protesters pink — a color often associated with the gay and lesbian community — given the anti-homosexuality bill currently making its way through uganda's parliament.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

kupitia twita, sanam dolatshahi alituma twitakuhusu habari za uwezekano wa kuwepo na adhabu ya kifo, vilevile kuna tovuti moja ya uajemi inayojulikana kama kamtarin ambayo nayo imetaja uwezekano huo, ikizingatiwa kwamba licha ya minong'ono iliyokuwepo hapo kabla kwamba derakshan alikamatwa kwa "ujasusi" nchini israeli , lakini ni wazi kwamba hii si moja kati ya makosa ambayo kwayo mwendesha mashtaka anataka itolewe adhabu ya kifo.

Английский

on twitter, sanam dolatshahi tweeted the news of a possible death penalty, and a site in persian called kamtarin has also mentioned it, noting that despite previous rumors that derakhshan was being held for "spying" in israel this is apparently not one of the accusations for which the prosecutor seeks his death.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,749,073,122 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK