Вы искали: jinsi ya kutumia zana ya kulenga video (Суахили - Английский)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

Swahili

English

Информация

Swahili

jinsi ya kutumia zana ya kulenga video

English

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

jinsi ya kutumia generator

Английский

how to use the generator

Последнее обновление: 2018-04-14
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

nilikuwa naitaji nijuwe jinsi ya kutumia kozi ya online ya komputa

Английский

i need to know how to use an online computer.

Последнее обновление: 2024-01-23
Частота использования: 2
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

who imetoa maagizo ya wakati na jinsi ya kutumia barakoa.

Английский

the who has issued instructions on when and how to use masks.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

zaidi ya kutoa habari za kawaida zinaihusu uganda na kufuatilia maendeleo ya sehemu nne muhimu za mradi, mradi huo umekuwa ukiwafundisha wakazi wa sehemu hiyo jinsi ya kutumia kamera za video ili kusimulia maisha yao:

Английский

in addition to providing general news about uganda and tracking developments in five key project areas, the project has been training local residents to use video cameras to document their lives:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

lengo letu, tukiliweka kirahisi, lilikuwa kujadili jinsi ya “kutumia kublogu na zana za kublogu ili kuwasaidia watu katika nchi tofauti kufanya mazungumzo yenye maana na ya moja kwa moja baina yao.”

Английский

our aim, put very simply, was to discuss how "to use blogging and blog tools to help people in different countries hold more meaningful and direct conversations with each other."

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Суахили

warsha iliwaelimisha na kuwafunza vijana wenye ulemavu kuwafanya hatimaye waweze kuwafunza wananchi wengine namna ya kutumia zana kama twita na facebook.

Английский

the workshop educated and trained the disabled so that they can in turn educate the public using tools such as twitter and facebook.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

miradi hiyo ina lengo la kuyashirikisha makundi hayo na watu mmoja moja, kuwafunza namna ya kutumia zana hizi pamoja na kuwapa jukwaa linaloaminika kwa ajili ya ufuatiliaji wa uchaguzi wa nchi hiyo.

Английский

the projects seeks to engage these bodies and individuals, train them to use these tools as well as provide a reliable platform for elections monitoring in the country.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

tulijadili suala hili na mengine mengi kwa kutumia zana ya majadiliano ya google hangout jumatatu ya septemba 23, 2013, saa 3 alasiri utc katika toleo letu la pili la gv face.

Английский

we discussed this and more in a google hangout on monday, sep 23, 2013, at 11am est/3pm utc in our second edition of gv face.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

siku ya ijumaa, septemba 27, 2013, timu ya global voices ya kusini mwa jangwa la sahara - omar mohamad na collins mbalo walijibu maswali haya na mengine mengi kwenye mfululizo wa mazungumzo yetu ya gv face yaliyofanyika kwa kutumia zana ya google hangout.

Английский

gv's sub-saharan africa authors - omar mohamad (@shurufu ) and collins mbalo (@collinsom92) answered these questions and more in our google hangout series gv face on friday, september 27, 2013.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

kupitia mtandao huo, vijana wenye ulemavu kutoka sehemu mbalimbali barani humu walipatiwa ujuzi wa kutumia zana za uandishi wa kijamii na jinsi ya kufanya kazi na kuonekana kama waandishi wa habar:

Английский

through the network, african youths around the continent with disability received training on social media skills and how to work and portray themselves as journalists:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

waandishi kama evgeny morozov wanadai kuwa kinyume na matumaini ya awali kuhusu wavuti kuwa nguvu ya demokrasi, tawala za kiimla zinang’amua jinsi ya kutumia wavuti ili kuimarisha nguvu zao na kukandamiza upinzani – na kwamba wavuti katika nchi nyingi inatawaliwa na upindishaji wa habari, utoaji wa habari potofu na chuki.

Английский

writers like evgeny morozov argue that contrary to early optimism about the internet as a democratizing force, dictatorships are figuring out how to use the internet to solidify their power and suppress dissent - and that the internet in many countries is dominated by manipulated spin, disinformation and hate.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

a) hapana tulielewa jinsi ya kutumia tarakilishi b) hapana tulielewa jinsi ya kutumia saa c) hapana kuelewa zaidi hilo somo,kupata matarajio mengi ya kujifunza d) ndiyo, hasara e) ndiyo, mwalimu anapoingia darasani tunaelewa somo analofundisha f) ndiyo kwa sababu tehama ni vitu vingi,tunaelewa katika mada ya jiometri g) ndiyo kwa sababu tunaelewa akitumia tehama vibaki h) hapana hutuwezesha kuelewa tehama ya mwalimu aliokuja nayo i) hapana kwa sababu kalkuleta inanisaidia kufanya hesabu na hain

Английский

a) no we understood how to use a computer b) no we understood how to use an hour c) no we understand the subject more, we get a lot of learning expectations d) yes, a loss e) yes, when a teacher enters a classroom we understand the subject he is teaching f) yes because it is a lot of things, we understand it in geometry g) yes because we understand using tehama remains h) no allows us to understand what kind of teacher he came up with i) no because it has brought me help to do math and hain

Последнее обновление: 2022-10-21
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,747,842,961 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK