Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
kiambu ni mji katika kenya
kiambu is a city in kenya
Последнее обновление: 2023-12-29
Частота использования: 1
Качество:
sarafu ya fedha katika kenya ni shilingi ya kenya
the money currency in kenya is kenyan shilling
Последнее обновление: 2023-12-29
Частота использования: 1
Качество:
tafsiri kwa ajili yangu hii malaria kama sababu ya hatari ya covid 19 katika kenya ya magharibi
malaria as a risk factor for covid 19 in western kenya
Последнее обновление: 2020-07-30
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
mji mkuu wa angola, luanda, ni mji aghali sana.
the capital of angola, luanda, is a very expensive city.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
miezi kadhaa baada ya yolanda, leyte bado ni mji uliotawaliwa na mahema.
months after yolanda, leyte is still a tent city.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
dar es salaam, ambao ni mji mkuu wa kibiashara wa tanzania, unarejea katika hali yake ya kawaida baada ya siku mbili za kuwa mwenyeji wa mtu anayeaminika kuwa mwenye mvuto mkubwa duniani, rais wa marekani, barack obama.
dar es salaam, tanzania's commercial capital, is getting back to normal after two days in which the city found itself playing host to arguably the most powerful man on earth: president barack obama of the united states.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
huko brussels, ambao ni mji mkuu wa kiutawala wa ulaya, silvia muñoz solano na alexander molina lópez , walipiga kura.
in brussels, the administrative capital of europe, silvia muñoz solano and alexander molina lópez voted.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
wala kwa dunia, maana ni kiti chake cha kuwekea miguu; wala kwa yerusalemu, maana ni mji wa mfalme mkuu.
nor by the earth; for it is his footstool: neither by jerusalem; for it is the city of the great king.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
huu ni mji wa pwani na bandari jimboni patagonia wenye miamba, ndege wakubwa na utajiri wa viumbe na mfululizo wa safari za pwani unaokufikisha kwenye eneo linalofahamika vizuri zaidi la ria.
this is a coastal and port city in the patagonia with cliffs, a large amount of biodiversity with birds and mammals and a series of coastal tours that takes us to the very well known ria.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
caracas ulikuwa ni mji uliokuwa unapendeza, wenye majengo marefu, barabara kuu, barabara za kupandana, na barabara zilizokuwa zimefanyiwa ukarabati siku za karibuni.
caracas was a shiny modern city, with high-rises, highways, flyovers, and recently repaved roads.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
moja ya vitu vya thamani vya laguna del tigre's ni mji wa zamani wenye umri wa miaka 2,500 wa maya ulioitwa waka´(miaka 500 kabla ya kristo) au el peru.
one of laguna del tigre's greatest treasures is a 2,500-year-old city of the ancient maya world, called waka´(500 bc) or el peru.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник: