Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
mamia wakiwa kwenye mstari wakimpigia makofi na kumwonyeshea ishara inayooashiria kujitenga ya kuinua kidole gumba#sudanref
hundreds in line clapped for him & gave him thumbs up. #sudanref
mikono ambayo ina majimaji na unyevu inaweza kuchafuka tena kwa urahisi.sehemu ambazo mara nyingi husahaulika ni kidole gumba, kifundo cha mkono, maeneo katikati ya vidole na chini ya makucha.
wet and moist hands are more easily recontaminated.the most commonly missed areas are the thumb, the wrist, the areas between the fingers, and under fingernails.
alipolipata, aliweka wino kwenye kidole gumba changu cha kulia na kunielekeza kwa ofisa wa awali wa kike wa nysc, ambaye alichomoa kadi mbili tofauti za kupigia kura akazikunja na kupiga muhuri kwenye taarifa fulani nyuma ya kadi hizo.
when he found it, he put some ink on my right thumb and ushered me to the female nysc personnel from earlier, who tore out two separate ballot sheets folded them and stamped some information on the back.