Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
hebu tuangalie baadhi ya kazi zake za sanaa.
let's take a look at a few samples of her artwork.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
lakini unawezaje kutofautisha picha za ngono na zile za sanaa?
but how do you differentiate pornographic or vulgar images from artistic ones?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
alifungiwa na facebook kwa kuchapisha mchoro wenye sura yake—ukionesha sehemu za mbele za uchi wake ambao ni sehemu ya kazi zake za sanaa ya maonesho.
he was blocked by facebook for publishing a self-portrait—a frontal nude that is part of a performance art piece.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kuna jambo la kufikirisha unapofungua mtandao wa instagram: kuna picha za kingono zinazochapishwa kila siku zenye maelfu ya watu wanaoweka alama ya kuvutiwa nazo wakati kazi za sanaa zikizuiwa bila mjadala...
there is something interesting that you notice when you open instagram: there are sexist images published everyday with thousands of 'likes' while there are works of art that are automatically blocked ...
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
lakini nyuma ya hali hii inayoonekana kijuu juu kuwa ni kupendwa na malipo makubwa kadhalika, muziki huu hauwezi kuwa mzuri wala wa kuvutia mashabiki wake mpaka kwanza wakaguzi wa kazi za sanaa nchini korea kusini hawajakamilisha kazi yao.
but behind the glamorous facades and big paychecks, it's not all fun and romance until south korea's censors have done their work.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
msanii wa sanaa za maonesho wa venezuela erika ordosgoitti, ambaye kazi zake zinajikita zaidi kwenye maeneo ya mwili wa mwanamke, ni mfano mwingine wa mtu aliyekumbana na changamoto nyingi kwa sababu ya kuchapisha kazi zake za sanaa zenye kuonesha sehemu za siri kwenye mitandao ya kijamii.
venezuelan performance artist erika ordosgoitti, whose art focuses primarily on the female body, is another example of a person who has faced numerous challenges due to her publishing nude works on social media.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwake, ufuatiliaji unaofanywa kwa lengo la kudhibiti kazi zake kutoka kwenye taasisi za utamaduni limekuwa ni jambo ambalo amejifunza kushughulika nalo, lakini vikwazo kwa uhuru wa kazi zake za sanaa mtandaoni, anasema, vinaendelea kuongezeka:
for him, censorship from cultural institutions has always been something he's had to deal with, but the constraints on his online artistic freedom, he says, are growing:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mashirika katika sekta za sanaa na utamaduni zilijaribu kuidhinisha lengo lao (ambalo kikawaida hufadhiliwa na umma) kutoa uwezo wa kufikia turathi za kitamaduni kwa jumuiya, kudumisha usalama wa waajiriwa wao na umma na kusaidia wasanii panapowezekana.
arts and culture sector organizations attempted to uphold their (often publicly funded) mission to provide access to cultural heritage to the community, maintain the safety of their employees and the public, and support artists where possible.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
ingawa masharti ya kutumia yako wazi sana, sababu zinazoweza kutumiwa kwa ufuatiliaji haziko wazi, kwa sababu siku hizi (na imekuwa hivi siku zote) inaaminiwa kwamba nia kufuta kabisa picha za ngono au zenye maudhui ya kimapenzi, sera ambazo inaweza kuhusisha hata picha za kisayansi au za sanaa.
although the terms of use are clear enough, the reasons for censorship are not, because nowadays (and it was not always like this) it is assumed that their intention is to exclude pornography or sexually explicit images, a policy that can thereby extend to exempting scientific and artistic images.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: