Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
wakati wa kuondoa mapafu kutoka kwenye kifua cha kondoo aliyening’inizwa kichwa chini miguu juu, jamaa mtaratibu aliyekuwa amechafuka damu akiwa ameyashikilia kwa sehemu ya koromeo iliyokuwa imebaki kiasi cha kuonekana na wote.
upon removing the lungs from the inverted and dangling sheep's chest cavity, the friendly man spattered in blood held them up by the still-attached esophagus for all to see.
halafu akapuliza kwa nguvu kupitia tundu la koromeo hilo, akisababisha mapafu yajae upepo –yenye rangi nyekundu isiyokoza, yaking’aa, na ya ajabu kwa jua la asubuhi.
he then blew forcefully into the esophageal opening, causing the lungs to inflate fully- pink, glistening, and strange in the morning sun.