Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
ni juu ya mahakama kuu kuamua #ghanadecides
now it's up to the supreme court. #ghanadecides
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
walimu walihamishwa baada ya kuamua kudai haki zao.
the teachers were transferred after they decided to demand their rights.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
tina kinuthia anaeleza namna walivyopata taarifa na kuamua kushiriki:
tina kinuthia explains how some got involved:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
lakini je, huoni kuwa tulistahili kuwa na hiari ya kuamua tukitakacho?
but don't you think we should have a choice?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
juwelsm alihoji kwamba waafrika waanze kuamua mambo gani yana uzito kwao:
juwelsm argued that africans should drive their own narrative:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
jamii yenyewe ndiyo yenye kuamua ikiwa ni haki kwa wanawake kuendesha ama la.
society itself decides on the right of women to drive.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
inamaanisha, chunguza wagombea wote kutoka katika eneo lako kabla ya kuamua ni nani wa kumpigia kura.
meaning, check out all the candidates from your area before you decide who to vote for.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hali hii inawakatisha watu tamaa na kuwafedhehesha kiasi cha kuamua kutorudi tena katika vituo hivi kwa ajili ya matibabu.
this experience is heartbreaking for many people and discourages them from coming back to the centres and seeking medical care.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
baba yake hatimaye alimuua mama yake na loubna, alimkatisha maisha aliyoyajua kabla ya kuamua kuwa kinyume na mamlaka ya syria..
her father killed her mother, and cut her off from the life she had known before the uprising.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hoja yangu ni kwamba baadhi ya watu hawana welewa kuhusu nini kinaendelea ndani ya maisha yetu na bado wanafikiri wana haki ya kuamua na kuwa wakuu.
my point is, some people have no knowledge about what goes on in our life yet they deem it their right to judge and be almighty.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
demokrasia inadai ushirikishaji huru wa raia kwenye michakato ya kisiasa, na hiyo inahusisha pia haki ya kukosoa, na haki ya kuamua serikali inayokuwa madarakani.
democracy demands the active participation of citizens in the political process, and that includes the right to criticise, and the right to decide the government of the day.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwa hiyo huenda ni kweli kwamba marais wanaweza kufanikiwa kwa kuamua kuanzisa mjadala wa wazi wa suala la kujiongezea muhula wa kutawala, na hivyo kuweka uwiano.
so it’s probably the case that presidents who are more likely to succeed self-select into formally initiating public debate on the subject of term limit extension, thereby tilting the balance.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
jambo hili, ambalo ni limewashangaza watumiaji wa kipolish, linaweza kutatuliwa baada ya wasomaji kuamua na kuonyesha uamuzi wao kwa kutobonyeza chochote kati ya vifungo au machaguo hayo matatu.
the whole thing, which is one big surprise for polish users, is almost solved after readers make up their minds and make their decision known by clicking on either of the three buttons.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
lakini kama huyo mwanamume akiamua kwa hiari moyoni mwake kutooa na kama anaweza kuzitawala tamaa zake na kuamua namna ya kufanya, basi, anafanya vizuri zaidi asipomwoa huyo mwenzake bikira.
nevertheless he that standeth stedfast in his heart, having no necessity, but hath power over his own will, and hath so decreed in his heart that he will keep his virgin, doeth well.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
unaulizwa kushiriki katika utafiti ili kujua maarifa ya uchunguzi wa saratani ya kizazi, imani, na tabia. lengo la mradi wa utafiti ni kuamua uhusiano kati ya maarifa na imani yako na tabia zako za uchunguzi
you are being asked to take part in a reasearch study to determine cervical cancer screening
Последнее обновление: 2021-03-07
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kura yako ni nguvu ya kuamua ni nani ataiongoza naijeria kuondokana na ufukara, ukosefu wa ajira, kutokuwepo kwa usalama, na mgombea atakayeirudisha heshima ya kweli ya wa-naijeria.
your vote is your power to decide who will lead nigeria out of poverty, unemployment, insecurity, and the candidate that will restore the true dignity of nigerians.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
aliyekuwa mchezaji maarufu wa kriketi na kisha kuamua kuwa mwanasiasa imran khan, ambaye kampeni yake yenye tumaini kubwa la kupata “pakistani mpya” imeshavuta makundi makubwa ya vijana pamoja na wapiga kura wa mijini kwenye mikutano yake katika harakati za kuelekea kwenye uchaguzi mkuu , alivunjika vifupa vitatu vya uti wa mgongo pamoja na mbavu baada ya kuanguka kutoka kwenye winchi iliyokuwa katika kimo cha futi 15 mda mfupi kabla ya kuhutubia.
this post is part of our special coverage pakistan votes 2013. popular cricketer-turned-politician imran khan, whose hopeful campaign promise of a "new pakistan" has drawn large crowds of young people and urban voters to his rallies ahead of the country's general elections, fractured three vertebrae and a rib after falling off a 15-feet high forklift just before a scheduled speech.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование