Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
hoja ilikuwa kwamba hija haijawahi kufutwa kwa minajili tu ya kiafya na kwamba kufanya hivyo kungekuwa kuukiuka uislamu.
the argument was that haj had never been canceled on public health grounds and that to do so would be counter to islam.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
maandamano nchini uingereza kudai kufutwa kwa mfumo wa kuoana kimatabaka uliodumu karne nzima na unaendelea uhindini pamoja na kwenye jamii nyingine.
protest march in uk demanding to eradicate the centuries-old caste system that exists on the indian sub continent and amongst expatriate communities.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mfano wa athari hizi ni kupotea kwa urefu kamili wa orf4 katika sampuli awali ya hcov-229e, kutokana na kufutwa kwa nukleotidi mbili.
an example of these effects is the loss of a full-length orf4 in the hcov-229e prototype strain, owing to a two-nucleotide deletion.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
kushinikiza kufutwa kwa picha na video kulikofanywa na polisi kunaonyesha wazi kuvunjwa kwa ibara ya 16 ya katiba inayozuia kufuatiliwa na inayotuhakikishia upatikanaji huru wa habari na uhuru wa kupokea na kusambaza habari.
making a pressure to delete and deleting photo and video materials by the police represents is direct violation of the article 16 of the constitution which prohibits censorship and guarantees free access to information and the freedom to receive and to transfer information .
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
wizara ya afya ya irani ilitangaza kufutwa kwa sala za ijumaa katika maeneo yaliyoathiriwa na mkurupuko na vihekalu zilifungwa baadaye, ilhali saudi arabia ilipiga marufuku kuingia kwa mapilgrimu wageni pamoja na raia kuelekea maeneo takatifu mecca na medina.
iran's health ministry announced the cancellation of friday prayers in areas affected by the outbreak and shrines were later closed, while saudi arabia banned the entry of foreign pilgrims as well as its residents to holy sites in mecca and medina.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
hatua za mwanzoni zilizotangazwa na serikali ilikuwa pamoja na kufutwa kwa tamasha na matukio mengine ya kitamaduni, matukio ya michezo, na maombi ya ijumaa, na kufungwa kwa vyuo vikuu, taasisi ya masomo ya ziada, na shule.
early measures announced by the government included the cancellation of concerts and other cultural events, sporting events, and friday prayers, and closures of universities, higher education institutions, and schools.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Несколько пользовательских переводов с низким соответствием были скрыты.
Показать результаты с низким соответствием.