Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
kuomba kuendelea na matengenezo
tire la mbele la piki piki
Последнее обновление: 2022-09-18
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
ninayo heshima kuomba ruhusa ya kusitisha masomo ya muhula huu wa pili mpaka hapo mwakani nitarejea tena kuendelea na masomo yangu
related to the headline above
Последнее обновление: 2021-06-22
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
lakini mtu anataka tu kuendelea na maasi kwa siku zilioko mbele yake.
aye! man desireth that he may sin before him.
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
hivi sasa wanasema, 'ina maana gani kuendelea na ndoa wakati ninasononeka'"
they are now saying, 'what is the point in continuing a marriage when i am miserable'"
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
changamoto kuu kwetu ni namna ya kuendelea na kutengeneza chombo cha habari endelevu.
the other major challenge for us is how to survive and make a sustainable media.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
alimalizia makala yake yake kwa kuahidi kumngojea ahera ili kuendelea na simulizi zake hizi za scheherazade.
she ended her article promising to wait or him in heaven to continue her scheherazade tales.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
lakini anasema hakufanya makosa yoyote na alitaka kurudi kuendelea na masomo yake ya chuo kikuu, bi.
but he said he had done nothing wrong and wanted to return to his university studies, ms. bakhshi added.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
"serikali inaweza kuendelea na jitihada zake za kutufanya sisi kutosikika, lakini mapambano yetu hayawezi kushindwa.
"the government may continue its attempt to render us invisible, but our struggle cannot be defeated.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
sipendi kupita kwenu harakaharaka na kuendelea na safari. natumaini kukaa kwenu kwa kitambo fulani, bwana akiniruhusu.
for i will not see you now by the way; but i trust to tarry a while with you, if the lord permit.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
binti huyo alifanya kazi kwa miaka miwili ili aweze kulipa madeni yote kabla hajaamua kuendelea na masomo ya juu zaidi huko shanghai.
she worked for two years to payback all the debts before she decided to continue her post-graduate study in shanghai.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
wanafunzi hawa wanasoma nchini marekani kama sehemu ya mradi wa jusoor kuwasaidia wananchi wa syria kuendelea na elimu yao ya juu nje ya syria kupitia ufadhili.
the students are studying in the us as part of jusoor initiative to help syrians continue their higher education outside syria through scholarships.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, wachezaji walionyesha nia ya kutaka kuendelea na mashindano, lakini serikali ya togo iliamua kuirudisha nyumbani timu hiyo siku ya jumamosi.
although according to news reports, many players had indicated they wanted to keep playing, the togolese government recalled the team on saturday.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
amalia alituma wito kwenye radio alhamisi asubuhi na watu wakaja kuendelea na wasiwasi kidogo kuhusu majibu ya bosi wangu kuhusu njia yangu ya kusimamia matatizo ya afya mitaa yetu na kuvuka mipaka ..
amalia send a radio call on thursday morning and people came progressively a little worried about the reaction of my boss regarding my way of managing our local health problems and crossing borders ..
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
2012 juni: madaktari wagoma (ni kama walianza mwezi februari na kuendelea) na kutekwa na kuteswa kwa kiongozi wa madaktari dk ulimboka.
2012 june: doctors' strike (back in february and onwards) and the abduction of dr ulimboka.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
aban idrees alishuhudia maandamano jijini hebron na alitwiti: jijini hebron, magari yamezuiwa kuendelea na safari kabisa baada ya maandamano ya kupinga mfumuko wa bei za bidhaa wakishinikiza serekali ya fayyad kujiuzulu.
aban idrees witnessed a protest in hebron and tweeted : in hebron the traffic is in absolute paralysis after the protests against the high cost of living demanding the government of fayyad to resign.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
ehab abu al-nada aliacha kuendelea na masomo na badala yake alikuwa akifanya kazi kwa takribani masaa 13 kila siku ili kujipatia ujira wa shekel 13 tu (karibu sawa na dola za kimarekani 7.4) ili aweze kumsaidia baba yake kuihudumia familia yao.
ehab abu al-nada had left school and used to work for 13 hours a day for just 30 shekels (about us$ 7.4) in order to help his father with family expenses.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
@shahdan_shosh aliweka picha hii ya vijana 11 waliotiwa mbaroni kwa kosa la kukutanika kupata daku - chakula kinacholiwa usiku kwa ajili ya kuendelea na fungo wa siku inayofuata wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani kwa waislamu (chanzo: mtandao wa twita)
@shahdan_shosh shares this photograph of 11 young men arrested for having suhoor - a latenight meal to prepare them to fast the next day during the muslim month of ramadan (source: twitter)
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник: