Вы искали: kusikika (Суахили - Английский)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

Swahili

English

Информация

Swahili

kusikika

English

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

hadi wakati mwingine, habari ya ali inapaswa kusikika.

Английский

till then ali's story needs to be heard.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

mtangulizi wake kevin rudd alipenda sana kusikika duniani kote.

Английский

his predecessor kevin rudd loved a global audience.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

sauti za wale ambao hawakuwahi kuipata fursa hii ziliwezeshwa kusikika kwa mara ya kwanza.

Английский

a voice was given to the ones that never had it.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

mahojiano ya redio na smith yanaweza kusikika kwenye blogu ya michael smith meets the press.

Английский

a radio interview with smith can be heard at michael smith meets the press.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

hii ni fursa ya sauti za wanawake kusikika”: attillah springer anajihusisha na kampeni ya hali ya hewa 350.

Английский

this is an opportunity for women’s voices to be heard": attillah springer is getting involved in 350's climate action tomorrow.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Суахили

kama isingekuwa kwa sababu ya matamshi na madai yaliyojaa chuki ya malema, asingepata hata chembe ya kusikika kama anavyosikika hivi sasa.

Английский

if it were not for malema’s outrageous statements and claims, he would not have had a fraction of the attention that he is getting currently.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

nia yangu imekuwa daima kuihubiri habari njema popote pale ambapo jina la kristo halijapata kusikika, nisije nikajenga juu ya msingi wa mtu mwingine.

Английский

yea, so have i strived to preach the gospel, not where christ was named, lest i should build upon another man's foundation:

Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

watu milioni 1 wanaweza kusikika kama vile si wengi sana kwako lakini inakupasa ukumbuke kuwa kwa kiasi kikubwa ni watu masikini wanaoishi sehemu za vijijini ambao wamenufaika na teknolojia hii.

Английский

1 million people may not sound to be that much to you but you have to remember that it is mainly the poor people living in rural areas who got benefited through this technology.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

baada ya hiyo sauti kusikika, yesu alionekana akiwa peke yake. wanafunzi walikaa kimya juu ya tukio hilo, na wakati ule hawakumwambia mtu yeyote mambo hayo waliyoyaona.

Английский

and when the voice was past, jesus was found alone. and they kept it close, and told no man in those days any of those things which they had seen.

Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

tyomoshenko mwenye umri wa miaka 51, alikuwa amefunikwa na mashuka, na alionyesha wazi kuwa hakufurahishwa na kitendo cha kuchukuliwa kwa filamu ile, ingawa maneno yake hayakuweza kusikika.

Английский

the 51-year-old tymoshenko, who was mostly covered by bed-clothes, was clearly unhappy at being filmed, though her words were not audible.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

ingawa inaweza kusikika kama vile masihara, siku ya vyoo duniani inatilia maanani kwenye suala ambalo si la mzaha linalowakwanza karibu nusu ya watu wote duniani – ukosefu wa vyoo na mfumo wa usafi.

Английский

while it may sound like a bad joke, today's world toilet day focuses on a not-so-funny issue impacting almost half the world's population — a lack of toilets and sanitation.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

ijumaa hii kwenye mazungumzo ya gv timu ya mradi wa global voices unaosaidia sauti changa kusikika (rising voices) itakuwa ikijadili namna bora ya kushinda shindano la ufadhili wa miradi midogo.

Английский

this friday on gv face the rising voices (rv) team find out best practices for winning the rising voices microgrant competition.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

inaanza kwa picha ya kompyuta kwenye chumba, na wakati ardhi ilivyokuwa ikisogea mingurumo ya ardhi inaweza kusikika, halafu taa zilizimikana tunaachwa kwenye giza, na kusikia sauti pekee ya mwanamke na mwanaume ambaye tunadhani ndio aliyekuwa amebeba kamera akijaribu kumtuliza.

Английский

it starts with a shot of a computer in a room, and as the earth moves the rumble of the earth can be heard, then the lights go out and we are left in the dark, hearing only the voices of a woman and a man we assume to be the one holding the camera trying to calm her down.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

@ngimbis kwa upande mwingine aliwakumbusha wananchi wa cameroon kuwa rais paul biya bado hajaonekana wala kusikika tangu ahudhurie mkutano mkuu wa umoja wa ulaya jijini brussels mnamo aprili 2-3, 2014:

Английский

@ngimbis on the other hand reminded cameroonians that president paul biya had still not been seen or heard from since he attended the africa-eu summit in brussels on april 2-3, 2014:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

inawapa sauti wale ambao ni vigumu kusikika, na inawapa mwangaza makundi yaliyotengwa katika irani: waandishi, watu wa madhehebu ya sunni, wanawake, mabloga, wa-armenia, wa-zoroastria, na makundi mengine ya kikabila au ya kidini.

Английский

it provides a voice for the unheard, and highlights marginalized groups in iran: writers, sunnis, women, bloggers, armenians, zoroastrians, and other ethnic and religious minorities.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,745,704,887 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK