Вы искали: kuwajibika (Суахили - Английский)

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

kuwajibika

Английский

responsible

Последнее обновление: 2015-09-07
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

boeing lazima wakubali kuwajibika kwa kutengeneza ndege ambayo ingeweza kupotea tu hewani na isionekane tena.

Английский

boeing must accept responsibility for building an aircraft that can disappear in mid-air so completely.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

chombo cha habari cha global kimeonyesha namna serikali yetu ilivyoshidwa kuwajibika kwa ajili ya waathirika wa yolanda.

Английский

global media is showcasing our government's lack of action for the yolanda victims.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

kujiuzulu kwa waziri mkuu juma lililopita kulifuatiwa na kuwajibika wa watu wengine zaidi kisiasa kuhusiana na utakatishaji wa fedha haramu.

Английский

the resignation of the state premier the previous week has been followed by more political heads rolling over money laundering.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

waziri mkuu wa zamani wa malaysia mahathir mohamad ameitaka boeing kuwajibika kufuatia tukio la kupotea kwa ndege ya shirika la ndege la malaysia yenye namba mh370.

Английский

former malaysian prime minister mahathir mohamad wanted boeing to take responsibility for the mysterious disappearance of malaysian airline flight mh370.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

tunawaomba washirika wetu wote kuunga mkono ujumbe wetu, pamoja na serikali kutoka nchi mbalimbali kuishinikiza serikali ya morocco kuwajibika kwa matendo na mwenendo wake. #justice4morocco

Английский

we call on allies to support our message, and on foreign governments to hold the moroccan government to account on its actions and principles. #justice4morocco

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

aad inaamini kwamba kuomba radhi kwa mkuu wa mkoa wa ashanti ni dalili za ukuaji wa dhana ya kuwajibika na lazima ikubaliwe kwa imani njema lakini hata hivyo tunasisitiza kwamba matamshi yake hayo yameidhalilisha hadhi yake kama mkuu wa mkoa na mwenyekiti wa baraza la usalama la mkoa.

Английский

aad believes that the apology of the ashanti regional minister is an indication of gross remorse and must be accepted in good faith but we however insist that his averments militates against his status as the regional minister and the chairman of the regional security council.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

mifano miwili ya vikundi hivi ni wale walioathirika na virutubisha matiti nchini columbia na mwanamke aliyeathirika kwa kukuza matiti nchini columbia, ambalo pia limetengeneza blogu, ambapo baadhi ya watu wamehoji kuwajibika kwa taasisi za umma zenye dhamana ya afya ya jamii:

Английский

two examples of these groups are those affected by pip breast implants colombia and woman affected by breast implants in colombia, which also has published a blog, on which some have called into question the accountability of public health institutions:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

alisema: "hakuna mashaka yoyote kwamba matumizi ya broadband ili kuamsha vipawa kamili vya watu ni jambo la lazima kiuchumi ili kuhakikisha kwamba jamii ya kiuchumi ya walimwengu wote inafikiwa na inamjumuisha kila mmoja ... viongozi wa serikali, wafanyabiashara, asasi za kiraia hazina budi kuwajibika ili kufikia matokeo yanayoonekana."

Английский

economic imperative for attaining an inclusive and prosperous global economic society...leaders in governmen...t, business and civil society organizations must be accountable to achieve concrete results."

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,782,530,931 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK