Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
hongera dada angu kwa kumalizia chuo leo unafuraha hatari
congrats sister
Последнее обновление: 2023-07-21
Частота использования: 1
Качество:
familia ya rawlings wajiepushe na aibu hii kwa kumalizia nyumba yao.
the rawlings' should save themselves this embarrassement and complete their own home.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kazi yake iliyopata sifa zaidi ni ile ya riwaya ya mwaka 1966 “msimu wa kuhamia kaskazini.”
his most acclaimed work is the 1966 novel “season of migration to the north.”
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
na kwa kumalizia, hakuna sababu ya kuchunguza suala hili, na wala haipaswi kuwepo; hata hivyo, vyombo vya kutunza sheria vilifanya kinyume, kwa sababu kuna namna fulani ya matakwa ya wengi.
to conclude, there is no grounds for investigating this issue, nor should there be; however, the law enforcement agencies did the opposite, because there is some kind of popular demand.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
"kulipokuchwa, huyo mwenye shamba alimwambia mtunza hazina wake, waite wafanyakazi ukawalipe mshahara wao, ukianzia na wale walioajiriwa mwisho, na kumalizia na wale wa kwanza.
so when even was come, the lord of the vineyard saith unto his steward, call the labourers, and give them their hire, beginning from the last unto the first.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
riwaya hiyo, kwa kipindi fulani, ilizuiliwa nchini sudani kwa vile ilijumuisha lugha ya picha za ngono, hata hivyo imetambuliwa kama “riwaya ya muhimu zaidi ya kiarabu kwenye karne ya 20” na chuo cha fasihi cha kiarabu kilichoko mjini damascus, siria.
the novel was, at one point, banned in sudan for its inclusion of sexual imagery, yet it was declared “the most important arabic novel of the 20th century” by the syrian-based arab literary academy in damascus.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
n’diaye, aliyezaliwa mwaka 1967 na mama mfaransa na baba msenegali, alishinda tuzo ya goncourt kutokana na riwaya yake “trois femmes puissantes” (”wanawake watatu wenye nguvu”), hadithi inayohusu wanawake waliojikuta katikati ya ufaransa na senegal na katika mkasa wa dhiki mbaya ya uhamiaji usio halali kutokea afrika.
n'diaye, born in 1967 to a french mother and a senegalese father, won the goncourt prize for her novel, "trois femmes puissantes" ("three powerful women"), a story about three women caught between france and senegal and the hellish ordeal of illegal migration from africa.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
Несколько пользовательских переводов с низким соответствием были скрыты.
Показать результаты с низким соответствием.