Вы искали: kwa njama (Суахили - Английский)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

Swahili

English

Информация

Swahili

kwa njama

English

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

kwa

Английский

Последнее обновление: 2021-06-12
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

watu zaidi ya arobaini ndio waliokula njama kufanya hivyo.

Английский

and they were more than forty which had made this conspiracy.

Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

awafanyie fadhili kwa kumleta paulo yerusalemu; walikuwa wamekula njama wamuue akiwa njiani.

Английский

and desired favour against him, that he would send for him to jerusalem, laying wait in the way to kill him.

Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

na mwenyezi mungu anayaandika yote hayo wanayo yapangia njama za usiku.

Английский

allah recordeth what they plan by night.

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

chama kilichopo madarakani kilidai kuwa upinzani umejihusisha katika njama za kuwateka watu kimtizamo.

Английский

the political party in power has alleged that the opposition has indulged in a conspiracy to frame them.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

hizi ni njama mlizo panga mjini mpate kuwatoa wenyewe. lakini karibu mtajua!

Английский

surely this is a plot which you have secretly devised in this city, that you may turn out of it its people, but you shall know:

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

wanataka kujificha kwa watu, wala hawataki kujificha kwa mwenyezi mungu, naye yu pamoja nao pale wanapo panga njama usiku kwa maneno asiyo yapenda.

Английский

they can hide (their deeds) from men but they cannot hide (them) from allah for he is with them even when they hold nightly counsels that are unpleasing to allah.

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

aam mina kwa upande mwingine aliandika makala, ya kuwakebehi wale wanaoamini katika nadharia za njama na waliokuwa wakitarajia wajerumani kufanya uamuzi utakaompendelea muuaji:

Английский

aam mina on the other hand wrote a post, making fun of those who believe in conspiracy theories and were expecting the germans to rule in favour of the murderer: i don't know why, since the announcement of the verdict, i haven't heard any of those who kept on talking about the germans and how racist they are, and that they hate arabs and muslims. they also claimed that the court will rule in favour of the murderer and he will be imprisoned for a year or two only, and that our only hope is to declare sacred war against the secular, rotten, zionist, and infidel west.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

hizi ni katika khabari za ghaibu tulizo kufunulia. na hukuwa pamoja nao walipo azimia shauri yao, walipo fanya njama zao wakizua vitimbi.

Английский

(o muhammad), this is part of news from the unseen that we reveal to you for you were not present with them when joseph's brothers jointly resolved on a plot.

Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

lakini mtoto wa kiume wa dada yake paulo alisikia juu ya mpango huo; hivyo akaenda ndani ya ngome, akamjulisha paulo juu ya njama hiyo.

Английский

and when paul's sister's son heard of their lying in wait, he went and entered into the castle, and told paul.

Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

maelezo mengi yasio ya kweli na nadharia za njama kuhusu virusi hivi zimekuzwa sana mtandaoni na hata pia na baadhi ya maafisa wa serikali, kwa hivyo kuwa mwangalifu ni vyanzo gani unavyoangalia kwa maelezo.

Английский

a variety of misinformation and conspiracy theories about the virus are being promoted online and even by some government officials, so be careful which sources you check for information.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

bado tukiwa bahraini, sohail al gosaibi ananusa njama kwenye hewa, anaona kwamba kukuza sana madhara ya mafua ya nguruwe kunayanufaisha mashirika ya habari, watangaza biashara na viwanda vya madawa.

Английский

still in bahrain, sohail al gosaibi smells a conspiracy in the air, noting that exaggerating the effect of swine flu benefits the media, advertising and pharmaceutical industries.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

kutimuliwa kazi mawaziri wawili, kufukuzwa kwa mkuu wa polisi, upelelezi wa njama za silaha pamoja na ukweli kwamba kwa matokeo yoyote, julius malema atayakabili mashitaka yake, vyote hivyo vimetuma ujumbe chanya kwamba afrika kusini haitaruhusiwa kugeuka kuwa nchi ya ulimwengu wa tatu.

Английский

"the dismissal of two cabinet ministers, the firing of the police chief, the enquiry into the arms deal and the fact that whatever the outcome, julius malema has had to go on trial, have all sent out a positive message that south africa will not be allowed to drift into a chaotic third world state.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Суахили

kwa mfano, makamu wa kongresi, paulo maluf, ambaye hivi karibuni jina lake limetokea katika orodha ya watu wanaotafutwa na polisi wa kimataifa (interpol), kwa ajili ya kula njama na kutumia vibaya fedha za umma.

Английский

for example, the congressional deputy paulo maluf, whose name recently made it to the wanted list of interpol, for conspiracy and appropriation of public funds.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

usijali sana kwamba magaidi wa kiislamu waliokuzwa nyumbani walioshambulia mfumo wa usafiri jijini landani mwaka 2005, na wafanya njama wa kiislamu kadhaa ambao wamekamatwa katika nchi za magharibi kabla njama zao hazijazaa matunda, wote wamelaumu uvamizi unaofanywa na mataifa ya magharibi kwenye nchi za kiislamu kama kitendo kilichowasukuma wao kuwa na msimamo mkali.

Английский

never mind that the homegrown muslim terrorists who attacked the london transport system in 2005, and the various muslim plotters who have been caught in other western countries before their plans came to fruition, have almost all blamed the western invasions of muslim countries for radicalizing them.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

uadilifu na uwajibikaji: ununuzi bora unawawajibisha watendaji wake kutekeleza na kutii sheria. inawafanya kuwa chini ya changamoto na vikwazo, ikiwa inafaa, kwa kupuuza au kupindisha sheria hizo. uwajibikaji mara moja ni kichocheo kikuu kwa uwazi wa mtu binafsi na wa kitaasisi, kizuizi kikuu cha njama na ufisadi, na hitaji kuu la uaminifu wa ununuzi. masuala ya kimaadili ni miongoni mwa baadhi ya vikwazo katika kufikia thamani ya fedha. watu i

Английский

integrity and accountability: good procurement holds its practitioners responsible for enforcing and obeying the rules. it makes them subject to challenge and to sanction, if appropriate, for neglecting or bending those rules. accountability is at once a key inducement to individual and institutional probity, a key deterrent to collusion and corruption, and a key prerequisite for procurement credibility. ethical issues are amongst some of the obstacles in achieving value for money. people i

Последнее обновление: 2021-12-27
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,802,246,215 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK