Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
malalamiko ya lumad yanaonekana sana kwenye kazi nyingi za federico.
the plight of the lumad is reflected in many of federico's artworks.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
orodha hii imekusanywa kutoka kwenye kazi bora zaidi za hivi karibuni kutoka kwa waandishi hao.
the list is a collection of some of the most outstanding opus from (mostly) contemporary francophone authors.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
lakini roho ya ya gv ni mamia ya watu wanaojitolea ambao wanatenga muda kutoka kwenye kazi zao, masomo, na majukumu ya kifamilia ili kusaidia kujenga majadiliano ya umma wa dunia yaliyo huru zaidi na shirikishi.
but the soul of gv are the hundreds of volunteers who take time out from their jobs, studies, and and family obligations to help build a more open and participatory global public discourse.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwenye migodi, watoto hutumikiswa kwenye kazi kama vile za kuchota maji, kubeba viroba vya udongo, au kukusanya magogo manene kwa ajili ya kuimarisha njia za ardhini, au wanaweza kuwa wajakazi wa wafanyakazi wazoefu wa mgodini.
in mines, child labourers usually fetch water, carry sacks of rocks, load the thick logs used to support the underground tunnels, or become errand boys for regular workers.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
msanii wa japani megumi igarashi, anayefahamika kwa jina la utani "msanii wa uke" na vyombo vya habari vya kimagharibi, anasema hakuna ukiukwaji wowote wa maadili kwenye kazi yake ya sanaa inayotumia sehemu zake za siri.
japanese artist megumi igarashi, nicknamed "the vagina artist" by the western media, says there's nothing obscene about artwork based on her genitalia.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
akihimiza "umoja wa kitaifa" katika viwanja vya wazi vya concepcion mnamo tarehe 27 machi, mwezi mmoja kamili baada ya nchi kupigwa na tetemeko baya kabisa, rais sebastián piñera alitangaza mpango uliobatizwa jina la "hebu turejee kwenye kazi" (“manos a la obra”) , ambalo ni vuguvugu lililoanzishwa na serikali ya chile ili kujenga mpya miundombinu ya nchi pamoja na majengo.
calling for “national unity” in concepcion’s main square on march 27, exactly a month after the devastating earthquake that hit chile, president sebastián piñera announced “plan manos a la obra” (plan "let's get to work") , an initiative of the chilean government to reconstruct the country’s infrastructure and housing.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
Несколько пользовательских переводов с низким соответствием были скрыты.
Показать результаты с низким соответствием.