Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
hatimaye watoto hawa hugeuka kuwa jalala la kila kitu na mara nyingi hutendewa kama moja ya mali binafsi zilizo pale nyumbani.
these children then become, effectively, the wards of their employers and are often treated like personal property.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kama moja wapo ya malengo yako kiangazi hiki ni kuwafahamu zaidi (au kwa mara nyingine) waandishi wetu wa kifaransa, usihangaike sana.
if one of your goals for this summer was to get (re)acquainted with francophone authors, look no further.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kukamatwa kwao ni sehemu ya mwenendo wa kuhofia nchini ethiopia, ambayo mara nyingi imewekwa katika nafasi ya kama moja ya maeneo yenye kandamizi kwa uhuru wa vyombo vya habari katika miaka ya hivi karibuni.
the arrests are part of a disturbing trend in ethiopia, which has frequently ranked as one of the most repressive places for press freedom in recent years.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
katika namna ya kukejeli, yeah that too alishirikisha maneno machache, ammar kwa upande wake aliandika kuhusu namna ‘mpambano mpya wa manyau’ unavyokaribia kuanza, chowrangi anazungumizia mustakabali wa nchi ya pakistani baada ya musharraf, psychotic discourses anatupatia mwanga juu ya muundo mpya wa ‘utawala wa kishetani’ (demon-cracy), wakati ambapo mb anatuchanganya zaidi kwa kuzungumizia hali hii kama moja ya mizunguko ya kisarakasi.
sarcastically yeah that too had a few words to share, ammar wrote about how the new 'cat fight' is now about to begin, chowrangi talks about pakistan's future after musharraf, psychotic discourses sheds light on the new form of demon-cracy, mb confuses us with the talk about circle of circuses.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Несколько пользовательских переводов с низким соответствием были скрыты.
Показать результаты с низким соответствием.