Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
lakini, je vipi kuhusu makampuni binafsi?
but, what about private companies?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
vikundi vidogo, wanafamilia na makampuni yanahitaji kutafutana.
small groups, families and companies need to quickly check in with each other.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kiuhalisia, mwanamke hapaswi kunywa pombe iliyotengenezwa na makampuni yasiyoeleweka.
in particular, drinking alcohol beverages in a questionable company.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
zana hii inatawasaidia wanafamailia, marafiki na makampuni yanayotaka kutafutana kwa haraka:
the tool will help families, friends and companies to quickly check in with each other:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
makampuni ya mafuta yaliendelea kuhusiana na wanasayansi kwa malipo yenye kutia shaka.
oil companies continue having scientists on their payroll who are willing to sow doubts.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
je, unayajua makampuni ya teknolojia nchini kenya yaliyopata ufadhili kwa mwaka 2014?
do you know kenyan technology companies that got funded in 2014?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
2.kubuni mkondo wa utafutaji masoko kupitia mtandao unaowezekana kwa ajili ya makampuni ya kenya
2.create viable online marketing channel for the kenyan companies
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kutokana na kuongezeka huko kwa biashara, uwepo wa makampuni ya brazili nchini angola pia kumeongezeka.
with the increase in trade, the presence of brazilian companies in angola has also grown.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mahitaji ya uwazi zaidi na kuongeza uwajibikaji kwa makampuni ya kuboresha usambazaji wa habari kuhusu shughuli zao.
the demand for more transparency and accountability increases the companies responsibility for improving the dissemination of information regarding their activities.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
makampuni matano nchini sierra leone yanasemekana kutumia fedha zilizokusudiwa kupambana na ebola kwa njia za kifisadi:
five companies are said to have misappropriated funds for fighting ebola in sierra leone:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hii ni pamoja na kudai taarifa za mtumiaji kutoka kwenye makampuni yanayotoa huduma za intaneti na mitandao ya simu za mkononi.
this includes demanding information from internet service providers and mobile phone networks.
Последнее обновление: 2023-09-24
Частота использования: 1
Качество:
hasara za uzalishaji katika makampuni ya viwanda zilikadiriwa kuwa eu milioni 91.5 kwa mwaka kwa sababu ya matatizo ya ugawi wa umeme.
production losses were estimated at eu91.5 million per year in industrial enterprises because of the difficulties in supplying electricity.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kupitia mradi huu, marekani inaahidi kutoa dola za kimarekani bilioni saba wakati makampuni ya sekta binafsi yanatoa zaidi ya bilioni tisa kwa mradi huo.
through this initiative, the us is committing seven billion us dollars while private sector companies have committed more than nine billion.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwenye mitandao ya kijamii, watanzania wameshangazwa kwa namna ambavyo makampuni hay mawili yafanyavyo kazi katika mataifa mbalimbali yalivyoweza kuingia makataba mnono kwa kiasi hicho.
on social media tanzanians wondered how the two multinationals had managed to strike such a good deal.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
lakini bado tunaona mara nyingi tathmini za athari za mazingira zinahakikisha kuwa makampuni yanafikia angalau kiwango cha chini kabisa cha utunzaji wa mazingira na sio kuhakikisha kuwa yanatunza mazingira na ardhi tunayoimiliki sote.
yet we see so often that environmental impact assessments just make sure that companies meet the bare minimum rather than actively going out of their way to protect the land and environment that belongs to all of us.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
habari za mgonjwa wa kwanza wa ebola nchini senegali zilimfanya mtumiaji wa mtandao wa facebook nchini gambia arfang jobe kupendekeza kwamba makampuni ya simu yashirikiane na wizara ya afya kutuma ujumbe mfupi wa maneno kuwaelimisha watu kuhusiana na ugonjwa huo.
the news of first ebola case in senegal prompted gambian facebook user arfang jobe to suggest that mobile phone companies partner with the ministry of health to send text messages to raise awareness about the disease.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
"wengi wetu tumeshashuhudia matukio ya makampuni ya uanahabari wa kijamii yakiondoa baadhi ya yale tuyawekayo katika mitandao na pia kufunga akaunti zetu,"jillian alidokeza.
"many of us have experienced the phenomenon of social media companies taking down our content or deactivating accounts," jillian said.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
haya hapa makampuni matano yaliyokuwa yameingia mikataba mikubwa ya kusambaza vifaa na kutoa huduma katika kupambana na ugonjwa wa ebola nchini sierra leone kama yalivyoorodheshwa kwenye taarifa ya ukaguzi ya fedha za kupambana na ebola kwa kipindi cha kuanzia mei - oktoba 2014.
here are the 5 companies who were awarded the biggest contracts to provide goods and services to sierra leone’s ebola response as listed in the ebola funds audit report covering the period from may – october 2014.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mashirika ya lumad yanaelezea kuwa yanalengwa chini ya mwavuli wa organizations explain that they are being targeted at the behest of uchimbaji madini mkubwa, mashamba makubwa ya kilimo, pamoja na makampuni mengine yaliyo na uchu wa wa ardhi yenye rutuba ya jamii ya watu wa lumad.
lumad organizations explain that they are being targeted at the behest of large-scale mining, plantations, and other companies salivating over the resource-rich lumad lands.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
rais john evans atta mills siku ya alhamisi aliikumbusha kampuni ya kosmos energy, moja ya makampuni yanayohusika na upatikananji wa mafuta ya taifa kwenye maeneo ya jubilee ya cape three points, kuwa werevu wa kijamii, kisheria na wajibu kibiashara ili kwamba watu wa mahali hapo waweze kuwa sehemu ya mchakato na kupata faida.
president john evans atta mills on thursday reminded kosmos energy, one of the companies involved in the nation’s oil find in the jubilee fields of cape three points, to be mindful of social, legal and corporate responsibilities so that local people would be part of the process and feel its benefits.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: