Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
makubaliano
planning
Последнее обновление: 2020-02-10
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
makubaliano muhimu
key agreement
Последнее обновление: 2014-08-15
Частота использования: 3
Качество:
Источник:
makubaliano ya mfumo
receipt as proof of any payment made by procuring entity
Последнее обновление: 2022-05-21
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
je, china iliharibu makubaliano ya copenhagen?
did china wreck the copenhagen deal? · global voices
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
imetumiwa kwa makubaliano ya hati miliki ya creative commons
used under a creative commons license
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
mkanganyiko wa makubaliano ya oic kuanzisha ofisi nchini myanmar
confusion over agreement with oic to establish office in myanmar · global voices
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
hata hivyo, haikutaja yaliyomo kwenye hati ya makubaliano iliyosababisha mkanganyiko.
however, it didn't mention the content of the controversial mou.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
upinzani waongezeka dhidi ya mapendekezo ya tanzania na zambia katika makubaliano ya cites
opposition mounts over tanzania and zambia ivory proposals to cites · global voices
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
pengine tugusie mdahalo wa makubaliano ya barotseland, ambao ulipamba moto mwaka 2011.
perhaps we should mention the barotseland agreement debate, which picked up in 2011.
Последнее обновление: 2024-03-21
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kikao cha siku 4 mfululizo kilichojumuisha waweka saini wa makubaliano, kimekwishahitimishwa mjini nairobi.
a four-day working session with the signatories’ technical revision committee has been concluded in nairobi.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
je atajali vilivyo na kufikia makubaliano mazuri - yaliyo sawa kwa watu wa iraki?
will he care enough to reach a good compromise - fair to the iraqi people?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
hali hiyo ilimalizika kwa mpango wa makubaliano wa ohrid uliotoa haki kwa walio wachache kwa waalibania nchini humo.
that ended with the ohrid framework agreement that granted greater minority rights for albanians in the country.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
imekuwa hivi hasa kwa sababu ya makubaliano ya udf na mcp kumwunga mgombea anafahamika kwa jina la john zenus ungapake tembo.
this has been the case especially because of the agreement of udf and mcp to support one candidate in the name of john zenus ungapake tembo.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
hati ya makubaliano ya kuishinikiza serikali ilizitaka nchi za magharibi zisizo za kidini kuilinda familia ya ramsha isidhuriwe:
the online petition requests the secular western countries to provide asylum of rimsha’s family:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
samahani nilikuwa naomba katika yale makubaliano tuliyoweka kwa liter unilipe40 please niongeze walau 60 ili iwe mia, nakuomba bro unisaidie kwa hilo
may you forgive me for the delay in answering you
Последнее обновление: 2022-09-04
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
poe pwint phyu anafikiri kuwa kama serikali ililitazama tukio la awali kuwa halikuwa la kidini, basi serikali isingepitisha makubaliano na oic:
poe pwint phyu thinks that if the government regarded the original incident a non-sectarian clash, then the agreement with the oic should not have been signed:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
ufilipino ni moja ya nchi iliyoingia mkataba wa makubaliano kuhusu haki za mtoto pamoja na kwenye t mashirika mengie ya kimataifa yaliyo na malengo ya kulinda mustakabali wa watoto.
the philippines is a signatory to the convention on the rights of the child and other international instruments that aim to promote the welfare of children.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kufatia makubaliano ya kikao kilchofanyika tarehe 4. na barua ya iliyosainiwa na mkurugenzi wa katakana iho tunaomba malipo ya tsh 10 yafanyike na ukaguzi wa wa temesa ulivyofanywa na kuthibitisha matengenezo hayo kufanyika
kufatia
Последнее обновление: 2020-11-18
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
halmashauri ya jiji la firenze imejitolea kusaidia siku ya mandela na kuhamasisha raia wa florence kujihusisha katika vuguvugu hili la ulimwengu kwa ajili ya kutenda wema kwa kutia sahihi katika makubaliano yanayounga mkono kuwepo kwa siku ya mandela.
the firenze city council has committed to supporting mandela day and encourages all citizens of florence to get involved in the global movement for good by signing a resolution in support of mandela day.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
(e) kuzuia makubaliano ya mkataba wowote wa kimataifa, mikutano na matamko ambayo yanapingana au hayakubaliani na vipengele vya sheria hii;
(e) to prohibit ratification of any international treaties, conventions, protocols and declarations which are contrary or inconsistent with the provisions of this act;
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник: