Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
mawimbi ya kwanza ya tsunami yaliripotiwa kuonekana kwenye pwani za ilo na tacna kusini ya peru:
the first tsunami waves were reported to be arriving to the coasts of ilo and tacna in southern peru:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
serikali iliwaomba wananchi kuondoka eneo lote la pwani kufuatia mawimbi ya kwanza ya bahari yalifika eneo la iquique.
the government asked for an immediate evacuation of the entire coastline as the first waves hit iquique.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mawimbi ya mapinduzi yaliyosukumwa na vyombo ya habari vya kijamii katika nchi za kaskazini mwa afrika yameamsha uelewa kwa wengi.
the wave of social media backed revolutions in north africa has raised the consciousness of many.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
licha ya uzuri wa nchi ninayoishi hivi sasa - haina thamani hata ya chembe ya mchanga ikilinganishwa na nchi yangu ninayoipenda sana.
despite the beauty of the land i live on now - it isn't worth a speck of sand from my beloved country.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
lakini anapaswa kuomba kwa imani bila mashaka yoyote. mtu aliye na mashaka ni kama mawimbi ya bahari ambayo husukumwa na kutupwatupwa na upepo.
but let him ask in faith, nothing wavering. for he that wavereth is like a wave of the sea driven with the wind and tossed.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
"kutakuwa na ishara katika jua na mwezi na nyota. mataifa duniani yatakuwa na dhiki kwa sababu ya wasiwasi kutokana na mshindo wa mawimbi ya bahari.
and there shall be signs in the sun, and in the moon, and in the stars; and upon the earth distress of nations, with perplexity; the sea and the waves roaring;
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
mawimbi ya tsunami yaliwasili la punta callao saa 2:31 jioni., ica saa 1:39, tacna na kwa mji wa moquegua hayo ndiyo yanawasili.
tsunami waves arrive to la punta callao at 8:31 p.m., ica at 7:39, tacna and moquegua already arriving.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
tetemeko hilo, ambalo halikuathiri maeneo ya bara pekee kwa njia ya kusogea sogea kwa ardhi, kadhalika lilisababisha mawimbi ya tsunami mabyo yalizua tahadhari katika eneo zima la pasifiki huku mataifa mbalimbali yakijiandaa kwa mawimbi hayo pindi yatakapofika kwenye fukwe zao.
the earthquake, which not only affected the mainland through the ground movements, also generated tsunami waves that set out an alarm throughout the pacific as different nations prepared for the waves to hit their shores.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwanza matangazo yalikatwa kwa saa 24, na mnamo tarehe 1 aprili, 2011 directscoop, ambayo ni blogu ya habari za kiraia za kutoka afrika, ilitangaza kwamba mawimbi ya kituo hicho yalikuwa yameanza kupatikana tena:
the signal was first cut for 24 hours, and on april 1, 2011 directscoop, a citizen information blog focused on africa, announced that the signal of the channel was back:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Несколько пользовательских переводов с низким соответствием были скрыты.
Показать результаты с низким соответствием.