Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
wanablogu nao wamejitosa kwenye mdahalo huu.
bloggers have also joined the debate.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
iran: utani kuhusu mdahalo wa urais
iran: jokes about presidential debate · global voices
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
pengine tugusie mdahalo wa makubaliano ya barotseland, ambao ulipamba moto mwaka 2011.
perhaps we should mention the barotseland agreement debate, which picked up in 2011.
Последнее обновление: 2024-03-21
Частота использования: 1
Качество:
nadharia hii ya pritchett na magric bila ya shaka ina upande tata ambao una nia ya kuchokoza mdahalo.
this theory of pritchett and magric certainly has a contentious side that aims to provoke a debate.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mjadala huo mtandaoni unaurudisha tena mezani mdahalo wa siku nyingi na unaoendelea kuhusu dhana ya serikali kutokuwa na dini nchini brazili.
the discussion online brings to light an old and ongoing debate regarding secularism in the brazilian state.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
jambo la kushangaza zaidi, ushuhuda wa zhong biao na wei xing, kama ulivyonukuliwa kwenye barua hiyo, uliandaliwa maalumu kwa ajili ya mdahalo huu lakini umenukuliwa kama kwamba watu hao wawili ni wasomi wanaofahamika vema sana na umma.
interestingly, the two accounts of zhong biao and wei xing, quoted in the letter, were set up for the purpose of this debate but quoted as if the two individuals were well-known public intellectuals.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
...hata kama chama tawala, ccm, kimeweka wazi kuwa mgombea wao hatashiriki mdahalo ... kwa upande wake mwandishi wa habari mpiga picha, issa michuzi, anayeendesha blogu yenye kusomwa sana nchini na nje ya nchi, issamichuzi yeye anafuatilia kampeni za mh jakaya kikwete mgombea urais wa ccm pamoja na waungaji wake mkono wa karibu.
now the debate is no longer about whether the ruling party's candidate will get a landslide victory - as in the previous election. rather, it is about how much that victory will be cut.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: