Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
tunasherehekea maadhimisho ya miaka 10 ya ndoa yetu leo, unaona.
we're celebrating our 10th wedding anniversary today, you see.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hakuna madai yanayohusu ustawi na uangalizi wa watoto ambayo yametolewa kama jambo la kutia hofu na mamlaka za moroko katika historia ya miaka 10 ya voh.
no charges concerning the welfare and care of the children have ever been raised as a concern by the moroccan authorities in the 10 year history of voh.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwenye mji kama chennai, ambako hali ya hewa ni ya joto kwa karibu miezi 10 ya mwaka, huwaona wanaume wanakojoakando ya barabara kila wakati.
"in a city like chennai, where the climate is hot nearly 10 months of the year, i see men urinating on the roadside all the time.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
@sam_btw: chama cha upinzani cha npp kimegndua tofauti ya asilimia 10 ya kura katika uchaguzi wa rais 2012.
@sam_btw: ghana's opposition npp discovered >10% irregular votes in presidential election 2012.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
kando na vienezi vikuu, ilikadiriwa kwamba kila kisa kingeibua takriban visa viwili vya pili na kipindi kati ya kuambukizwa na kujitokeza cha siku 4 hadi 7 na upeo wa kiwango cha virusi ukionekana siku ya 10 ya ugonjwa.
apart from the super-spreaders, it was estimated that each case could give rise to approximately two secondary cases, with an incubation period of 4 to 7 days and the peak of viral load appearing on the 10th day of illness.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
ni sawa na kusema katika siku ya kwanza ya kuadhimisha miaka 10 ya ndoa; mtu aliye kwenye ndoa anaweza kufanya chochote atakacho bila ya kujali wajibu wao na na uaminifu kwa familia zao.
it’s like saying on the 1st day after the 10th year of marriage; a married person could do anything they want without regarding their responsibility and loyalty to their family.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
si zaidi ya asilimia 10 ya wale wanaosikia nikitamka "bahrain" kama jibu la kule nitokako wanaelewa au kuwa na picha kichwani juu ya mahali nchi hii ilipo, lakini hicho siyo hasa kinachonisababishia simanzi.
not more than 10% of people who hear “bahrain” as answer have some sort of idea where that country might be, but that’s not my cause of annoyance.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
lakini kwa bahati nzuri kifaa mithili ya eropleni kilichofungwa kamera kiliweza kutuchukua picha za video tukiwa mbele ya jengo la provincial capital la mamlaka ya jiji la cebu majira ya mchana wa januari 25, 2015, kikiwa umbali wa mamia kadhaa ya futi tokea ardhini, tukiwa ni sehemu tu ya wanajamii wa global voices tuliokuwa tumekusanyika katika muonekano wa kipekee kabisa-na ikizingatiwa namna tulivyokusanyika hivyo kwa haraka-mpangilio wa mstari mmoja na mduara uliowakilisha miaka 10 ya kuwepo kwetu.
but fortunately the drone-mounted camera that filmed us in front of cebu city’s grand provincial capitol building on the afternoon of january 25, 2015 hovered only a few hundred feet above us, a fraction of the global voices community assembled into a very respectable-looking—considering how quickly we did it—column-and-circle formation representing the 10 years of our existence.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Несколько пользовательских переводов с низким соответствием были скрыты.
Показать результаты с низким соответствием.