Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
mpango mkakati wa kupambana na rushwa
strategic plan to combat corruption
Последнее обновление: 2021-08-16
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kwa haya yote kuna suala la uhaba wa mkakati wa kisiasa.
to all this is added a shortage of political strategy.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
ni moja mkakati wa muhumi tunapoelekea kwenye maendeleo endelevu na uratibu muwafaka wa mambo yetu.
it is a strategic factor in our advances towards sustainable development and the harmonious coordination of our affairs.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
baadhi wanafikiri kwamba maandamano haya ni mkakati wa chama tawala kuficha mapungufu yake katika maeneo mbalimbali.
some are thinking that this protest is a ploy of the ruling party to hide their failures in different areas.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
pengine inapaswa isisitizwe kuwa sehemu tuliyotengana haikuwa iwapo mtu binafsi aliunga mkono haki fulani ya wapalestina au mkakati wa kukomesha kukaliwa kwa mabavu.
it should perhaps be stressed that the point of dispute was not whether one personally supported a particular palestinian right or strategy to end the occupation.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
anatafakari kuhusu kufanya vibaya kwa timu za mataifa ya mexico na brazili, lakini anasaili kile anachokiita kushindwa kwa mkakati wa rais wa brazili dilma rouseff.
he reflects on the poor performance of mexico and brazil national teams, but highlights what he considers a strategy failure of brazilian president dilma rouseff.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kupima kwetu wagonjwa walio katika hatari ya chini kutaonyesha iwapo mkakati wa udhibiti uliowekwa kwa msingi wa upimaji wa kivairolojia wa wagonjwa walio katika hatari kubwa na watu waliogusana naye na kujitenga.
our testing of low-risk patients will also inform whether the containment strategy that is based on virology testing of high-risk patients and their contacts plus self-isolation is effective.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
inaonekana kuwa mpango wa amani wa umoja wa mataifa unaoonekana kuwa ni wa busara kwa somalia si chochote bali ni sehemu ya mkakati wa ulaghai ili kuiweka somalia na wa-somali katika matatizo.
it appears that the un-wise roadmap for somalia is nothing but part of a plan of perfidy to keep somalia and the somalis in turmoil.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
sauti za wa-papua ni mkakati wa utetezi kupitia uandaaji wa video unaowawezesha wanaharakati wa papua ya magharibi kutengeneza filamu fupi zinazosimulia habari zao pamoja na kuelezea harakati za maisha yao ya kila siku.
papuan voices is a video-production advocacy initiative that allows west papua activists to make their own short films that tell their stories and describe their everyday struggles.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kwa nyongeza, walibainisha kuwa, kutokuwepo kwa mpango mkakati wa muda mrefu wa namna ya kupambana na ugaidi nchini kenya unaweza kueleza sababu ya kuendelea kwa nguvu ya al-shabaab:
additionally, they pointed out, a lack of a long-term strategic plan on how to combat terrorism by kenya may explain al-shabaab's continued potency:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kulingana na unicef, kufanya uoshaji mikono kwa sabuni kabla ya kula na baada ya kutumia choo kuwa mazoea kunaweza kuokoa maisha zaidi kuliko chanjo yoyote au mkakati wa kimatibabu, kupunguza vifo kutokana na kuendesha kwa karibu nusu na vifo kutokana na maambukizi ya pumu kwa robo.
according to unicef, turning hand washing with soap before eating and after using the toilet into an ingrained habit can save more lives than any single vaccine or medical intervention, cutting deaths from diarrhea by almost half and deaths from acute respiratory infections by one-quarter.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
mkakati wa kimsingi wa kitaifa wa maambukizi ya covid-19 ni kuudhibiti, huku wagonjwa walio katika hatari kubwa zaidi wakifuatiliwa kupitia mfumo wa usaidizi wa njia ya simu nhs111 timu za ulinzi wa kiafya za phe, lakini uchunguzi wa rcgp rsc ni tofauti kikamilifu.
the primary national strategy for covid-19 infection is containment, with patients who are at high risk managed via the telephone help system nhs111 and the phe health protection teams, but the rcgp rsc surveillance is entirely separate.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
mkakati wa kufunga barabara unaotumiwa na wazawa na jumuiya za campesino kama namna ya hamasa za kisiasa na kama namna ya kuhamasisha utatuzi wa changamoto zao unapingwa vikali na taifa pamoja na mkundi yenye ushawishi mkubwa wa kiuchumi haswa haswa kundi la watu wafanyabiashara la cacif*, ambalo limeshahamasisha kuwashikilia watu kama namna ya kukiuka haki ya watu kuwa na uhuru wa kutembea.
the strategic use of roadblocks by indigenous and campesino organizations as form of political pressure and re-vindication is harshly contested by the state and powerful economic actors, especially the business lobby cacif*, which has campaigned for the prohibition and repression of blockades as violations of the right to freedom of movement.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
halafu, jambo la kuvutia, licha ya mkakati wa kutumia vyombo vya habari vya mtandaoni kukosoa uchujaji habari, moja ya majimbo yanayo ongozwa na upande wa upinzani liliamua, kwa hakika, kupeleka bungeni muswada wa sheria ya uhuru wa habari ili kuweka wazi taarifa kwa manufaa ya umma kwa kila mtu.
interestingly, apart from online media strategy to criticize censorship, one opposition-led state actually took the unprecedented move to table the freedom of information bill to disclose information of public interests to every individual.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
katika mukhtadha huu, kama awamu ya kwanza ya mradi huu wa "umeme kwa afrika" itafanikiwa kufikia malengo yake ya kuongeza gw 10 za uwezo wa uzalishaj na kuwaunganisha wateja milioni 20 wa nyumbani na wa kibishara, itakuwa ni ukuaji mkubwa ambao hata hivyo haitakuwa mara dufu ambalo, kwa mjibu wa mkakati wa ikulu ya marekani kwa mradi huo, ndilo lengo kuu la mradi.
in this context, if the first phase of power africa succeeds in its stated goal of adding 10 gw of generation capacity and connecting 20 million new residential and commercial customers, it will represent a major expansion—albeit not near the doubling of access that, according to the white house fact sheet on power africa, is the program’s ultimate aim.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование