Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
mnara wa mawasiliano
communications tower
Последнее обновление: 2024-08-03
Частота использования: 1
Качество:
"kama kuna yeyote anayetakiwa kuelewa thamani ya uhuru wa kujieleza, naibu mkurugenzi wa mawasiliano na utetezi kule licadho ndiye anayepaswa kuwa.
"if anyone should understand the value of free speech, the deputy director of communication and advocacy at licadho seems a likely candidate.
tume hiyo imetamka kuwa, kwa mujibu wa sheria ya udhibiti wa mawasiliano nchini bangladesh, inaweza kuomba taarifa inayoyakiwa kutoka ka mtu yeyote au taasisi yoyote inayotumia mtandao wa intaneti.
the commission has stated that according to the bangladesh telecommunication regulatory act, it can ask required information from any individual or institution who uses the internet.
"natumaini kwamba mkondo huu utakuwa ni mkondo wa mawasiliano na daraja kati ya mashariki na magharibi, kwa sababu ninaamini kwamba dunia yetu inahitaji hili."
“i hope that this channel becomes a channel for communication and a bridge between the east and west, because i firmly believe our world is in dire need for this”.
kampeni ya facebook ilimtaka rouhani kukomesha uchujaji wa taarifa katika mtandao wa facebook, na kikundi cha wanablogu na wanaharakati wa sayansi ya mfumo wa mawasiliano na udhibiti wake walimwandikia barua rais mteule wakimtaka aongeze kasi ya mtandao wa intaneti.
a facebook campaign asked rouhani to end the filtering of facebook, and a group of bloggers and cyber activists wrote a letter to the president-elect asking him to increase internet speeds.
maoni mengi yamekuwa ni ya hofu juu ya wanafamilia walio kwenye maeneo ya nje ya mji mkuu, na ukosefu wa mawasiliano umeendelea kuwa suala gumu kwa ndugu wanaojaribu kuwasiliana na familia pamoja na marafiki katika sehemu ambazo nyaya za umeme na simu zimeathirika.
many comments have been worrying about family members in areas outside the capital, and this lack of communication has continued to be an issue for relatives trying to contact family and friends in places where electricity and phone lines have been affected.
unicef iliandaa mkakati wa mawasiliano wa meena (mci) kama mradi wa mawasiliano kwa umma uliolenga kubadilisha mitizamo ya watu inayoweka rehani uhai, ulinzi pamoja maendeleo ya wanawake wa asia ya kusini.
unicef developed the meena communication initiative (mci) as a mass communication project aimed at changing perceptions and behavior that hamper the survival, protection and development of girls in south asia.
limekuwa suala la mjadala tangu miaka ya 1970, hususani katika mikhtadha ya mijadala kuhusu utaratibu wa mawasiliano na habari katika dunia mpya (new world information and communication order, nwico).
it was already a subject of concern during the 1970s, notably in the context of discussions about new world information and communication order (nwico).
tovuti ya mujeresmundi, inayoongozwa na mtaalamu wa mawasiliano anayeishi peru na ubelgiji xaviera medina, inahusika na kampeni ya kuelemisha watu kuhusu "ni mtoto wa kike" inakosudiwa kukomesha utoaji wa mimba za kike nchini india na china:
the website mujeresmundi, directed by peruvian belgium-based communication specialist xaviera medina, is involved with the awareness campaign it's a girl against infanticide feminicide in india and china:
waandishi maarufu duniani kote ikiwa ni pamoja na christiane amanpour, arianna huffington, xiao qiang na ahmed rashid nao pia wametia saini kuthibitisha wanavyounga mkono kampeni hiyo, pamoja na mamia ya waandishi wengine, wanablogu na wananchi wanaotambua kwamba vitendo vya ufuatiliaji wa mawasiliano na bughudha kwa waandishi vina madhara yanayovuka mipaka ya nchi moja moja.
prominent journalists from around the world including christiane amanpour, arianna huffington, xiao qiang and ahmed rashid have also signed on to show their support, as well as hundreds of other journalists, bloggers and citizens who recognize that us surveillance and harassment of journalists has an impact beyond national borders.
hata hivyo, kama mtaalamu wa mawasiliano ya umma edison pérez (@edyelrojo) alivyosema, correa aliongeza: “tutautetea uhuru wa kujieleza wa wananchi wote wa ekuado na sio makundi fulani fulani pekee”.
nevertheless, as social communicator edison pérez (@edyelrojo) mentions, correa added: “we defend the freedom of expression of all ecuadorians and not only of certain groups”.