Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
“bw kgalema motlanthe ndiye chaguo la anc kuwa rais wa mpito wa jamhuri ya afrika ya kusini.
“mr kgalema motlanthe is the anc’s preferred candidate to become the next president of the republic of south africa.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
anc ilikuwa imetangaza kwamba makamu wa rais wa chama hicho kgalema motlanthe alikuwa ameteuliwa na chama kushika nafasi ya rais katika kipindi cha mpito mara baada ya kuondoka rais thabo mbeki mnamo siku ya alhamis.
the anc has confirmed that its deputy president kgalema motlanthe has been chosen as the party’s preferred candidate to serve as the country’s interim president after thabo mbeki leaves office on thursday.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kgalemo motlanthe, ambaye ni swahiba mkubwa wa zuma tayari amechaguliwa kuwa rais wa kipindi cha mpito, hasa baada ya makamu wa rais kujiuzulu, maana yake ni kwamba sasa watapata fursa ya kuweka watu wao kwenye kila nafasi.
kgalemo motlanthe, zuma’s ally has already been chosen as the care-taker president since the other deputy president had resigned, os now they have the opportunity to replace everyone.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mwishoni mwa mwezi septemba, barbara hogan, aliteuliwa na rais wa mpito kgalema motlanthe kuwa waziri mpya wa afya wa afrika ya kusini, akichukua nafasi ya mtangulizi wake mwenye utata mwingi, manto tshabalala-msimang.
in late september barbara hogan was appointed as south africa's new health minister by interim president kgalema motlanthe, ousting her controversial predecessor manto tshabalala-msimang.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: