Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
kinyume cha mpana
the opposite of thinner
Последнее обновление: 2022-11-22
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
lakini mjadala mpana zaidi unaendela pia.
but a broader debate is also underway.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
siasa zetu zinakosa mwelekeo na muono mpana wa kiitikadi kututegemeza kuelekea mbele.
our politics lacks a sense of direction or grand ideological vision anchoring us forward.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
taswira nyingine nyingi siyo shirikishi, lakini pengine zinatoa mtazamo mpana kuhusu hali ilivyo.
most other imagery is not interactive, but arguably gives a broader overview of the situation.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
mafunzo microsoft yanajaribu kutumia kile tunachokisoma darasani, lakini yamenipa uelewa mpana wa ujenzi wa programu na namna tasnia hiyo ilivyo pana.
mta training links to what we're learning in class, but has given me a greater understanding of programming and how diverse the field is.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kwa hivyo, watoa huduma wawili wakuu wa mfumo wa gp waliongeza majina yanayoonyeshwa kwenye jedwali la 4 kama misimbo ya ndani ya mfumo mpana.
therefore, the two main gp system suppliers added the five terms shown in table 4 as system-wide local codes.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
ninatarajia kwamba rais obama anapotathimini madhara ya keystone kwa mazingira, anafanya hivyo kwa mtazamo mpana, na sio kwa mtazamo mwembamba wa viwango na mazoea.
i hope that when president obama evaluates the impact of keystone on the environment, he does so in broad strokes, not in a narrowly defined minimum norms and standards type of way.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
siku za hivi karibuni, tume hii iliwasiliana na blog.net, ambao ni uwanja mpana kwa wanablogu nchini bangladeshi, ikiutaka mtandao huu kuziondoa blogu hizi nne kutoka kwenye mtandao huo.
the commission recently contacted somewhereinblog.net, the largest blogging platform in bangladesh, requesting that the four blogs be taken down from the site.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
"ingieni kwa kupitia mlango mwembamba. kwa maana njia inayoongoza kwenye maangamizi ni pana, na mlango wa kuingilia humo ni mpana; waendao njia hiyo ni wengi.
enter ye in at the strait gate: for wide is the gate, and broad is the way, that leadeth to destruction, and many there be which go in thereat:
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
elección ciudadana - jina la mwamvuli wa kikundi hicho - liliibuka mwezi oktoba kupitia juhudi za asasi inayoitwavenezuela inteligente , ana imetumia miezi mitano kutengeneza ushirikiano mpana baina ya mashirika.
elección ciudadana - the name for the umbrella group - emerged in october through the efforts of venezuela inteligente , and has used the last five months to develop partnerships with a wider range of organizations.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
kwa nini wanaenda nje ya njia zao na kuwa washenzi wa ki-ooga-booga?... haiwezekani kutojali jinsi wanaijeria wanavyoonyeshwa ambavyo kukiangaliwa katika muktadha mpana, kumepita hali ya kuumiza au kudhalilisha lakini ni hali ya hatari.
why do they have to go out of their way to be ooga-booga savages? ….it is impossible to disregard the charged portrayal of nigerians which when viewed in a larger context, is beyond damaging or defamatory but is dangerous.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник: