Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
kuna njia muafaka ya kutatua tatizo hili?:
what is the solution?:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hivi sasa yuschenko ana wasaa muafaka wa kujiuzulu.
yushchenko now has a historically ideal opportunity to resign.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ni muda muafaka wa javier duarte aondolewe katika serikali.
it's time that javier duarte is removed from the government.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
wale vijana wadogo, huu ni muda muafaka wa kwenda shahbag.
those who are young, this is the right time to go to shahbag.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
@samahanwar: kuvaa kanzu aina ya thobe si vazi muafaka katika harakati za mapinduzi
@samahanwar: wearing a thobe is not suitable for revolutions
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
hawakutushirikisha wakati walipoamua kubadilisha sheria zote tano wakati wa kipindi cha majira ya joto, ni muda muafaka wa kuwauliza!
they didn't ask us when they decided to change five laws last summer, let us ask them now!
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
katika hatua ya awali, serikali ilijaribu kufikia muafaka kwa kukubali kuongeza siku za kutoa maoni ambapo iliongeza hadi kufikia siku 20.
at first, the government tried to negotiate to extend their consultation period to 20 days.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ili kuwakinga vijana wasio na hatia, njia rahisi ni kuwapa elimu muafaka wazazi na hao vijana na jamii kwa ujumla kuhusiana na faida na hasara za kuuvinjari mtandao.
to really protect the young and innocent, the best solution is to give them, their parents, and the community in general, the proper education and relevant information about the potential and risks of surfing the web.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
@mohammedhanif: inaonekana kutakuwa na muafaka siku za hivi karibuni kuwa kuita ni mashambulizi ya kidhehebu ni chanzo kikubwa cha mashambulizi ya kimadhehebu.
according to the statistics on the site a total of 1100 hazara shiites have been killed in pakistan since 1999. media outlets often face the heat for not acknowledging the nature of the attacks and when they do they are criticized for using the term 'sectarian' when a particular sect is being targeted.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
@gabyreimberg: matumaini yangu ni kuwa maandamano haya hayataishia hapa, ni muda muafaka wa ulimwengu kuifahamu vyema nchi hii! #peppervsvinegar
@gabyreimberg:hopefully these protests won't stop here… it's time to show (the world) who this country (really) is! #peppervsvinegar
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwa hakika, mambo haya hayapaswi kuwa na maana yoyote, ni maneno matupu kwa chama cha pap ambacho kinawaacha wakiwa hawana chochote cha kupinga itakuwa ni njia muafaka sana kwa wengine ambao bado wanaweza kushawishika kukiunga mkono chama cha pap.
in fact, these do not even need to say anything—a mere talk with the pap that leaves them with nothing to criticize will be effective enough for others who can still be convinced to support the pap.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
myo set aliishauri shirika la ushirikiano wa kiislam (oic) kuwasiliana moja kwa moja na mashirika mengine ya umoja wa mataifa na mashirika mengine ya binafsi kama wameona kuwa kupitia serikalini sio njia muafaka:
myo set advised the oic to communicate directly with other un bodies and ngos if they found the government machinery unreliable:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
"little bee": katika mkutano na waandishi wa habari, msemaji wa serikali hakutaja “kusitisha”, alichosema ni ‘kwa kuwa hakujafikiwa muafaka kati ya serikali na wananchi, mradi autaidhinishwa wala ujenzi kuanza.
"little bee": having seen the press conference, (the spokesperson) did not mention ‘cancel’, only said ‘as long as there is no agreement in the society, the project will not be approved and built.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование