Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
jitihada za mustapha hakika zilikamata macho ya wanablogu wengi wa kilebanoni wanaomuunga mkono.
mustapha's initative indeed caught the eye of the mainly supportive lebanese blogosphere.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
na hivyo ndivyo mwanablogu mwenzetu mustapha amefanya wakati akisubiri watu wa teknolojia ya habari wa daily star kuirekebisha tovuti yao.
and that’s what fellow blogger mustapha did while waiting for the daily star it people to renovate their website.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ingawa alichokifanya kinaweza kuwafanya watu kufungua macho yao dhidi ya the daily star, mustapha anasisitiza kwamba nia yake ni chanya:
although his actions might raise eyebrows at the daily star, mustapha insists his intentions are positive:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mustapha sesay, balozi wa uadilifu wa afrika magharibi aliandika kuhusu ufisadi katika sekta ya maji kwenye mtandao wa waandishi wa habari wa wash wa afrika magharibi :
mustapha sesay, west africa water integrity ambassador wrote about corruption in the water sector on the west africa wash journalists network :
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
jarida ‘baya’ la daily star limewafanya wanablogu wa kilebanoni kuchukua hatua, kwa kampeni ya mtadaoni iliyozinduliwa na mbunifu wa blogu ya beirut spring, mustapha.
the "ugly" daily star has prompted lebanese bloggers to act, with an online campaign launched by creator of the beirut spring blog, mustapha.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
mustapha ametengeneza kwa werevu wavuti ya kuigiza ya daily star- mradi wa daily star ulio bora zaidi au #bdsp kwenye twita –akitumia nyenzo ya wordpress kuonyesha uwezo duni wa timu ya teknolojia ya habari (th) na wabunifu wa wavuti wa the daily star.
mustapha has cleverly created a mock daily star website - the better daily star project or #bdsp on twitter - using wordpress functionality to highlight the incompetence of the daily star's it and web design team.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: