Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
mambo ya kawaida
casual
Последнее обновление: 2020-10-05
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
hakika haya ni mambo ya ajabu!
indeed, this is an amazing thing!"
Последнее обновление: 2014-07-03
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
ninadhani museveni atadumu zaidi ya kony, lakini wakati mwingine mambo yasiyo ya kawaida hutokea kwenye maisha haya yasiyotabirika kwa hiyo sitajiapiza kwa hilo.
i think museveni will outlast kony, but strange things happen in our neck of the woods so i wouldn’t place a bet on it.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
hata hivyo, miaka michache iliyopita, mafuriko ya mara kwa mara yalikuwa matukio ya kawaida kwenye jamii hizo zenye amani.
however, a few years ago, periodic floods were part of the lives of these peaceful communities.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
matumizi ya vitu hatarishi kwa jamii kama vile madawa ya kulevya ya kuwafanya watoto waingie migodini na kufanya kazi kwa muda mrefu ni mambo ya kawaida kwenye migodi.
social hazards such as the use of illegal drugs to keep children inside the tunnels awake for hours are also a regular feature of the country's mines.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
je, hamjui kwamba, licha ya kuhukumu mambo ya kawaida ya kila siku, tutawahukumu hata malaika?
know ye not that we shall judge angels? how much more things that pertain to this life?
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
mnapokuwa na mizozo juu ya mambo ya kawaida, je, mnawaita wawe mahakimu watu ambao hata hawalijali kanisa?
if then ye have judgments of things pertaining to this life, set them to judge who are least esteemed in the church.
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
mungu ameyachagua yale ambayo kwa fikira za dunia ni mambo yaliyo duni na yanayodharauliwa, mambo ambayo hata hayakuwako, ili kwa hayo ayafutilie mbali yale ambayo kwa fikira za binadamu ni mambo ya maana.
and base things of the world, and things which are despised, hath god chosen, yea, and things which are not, to bring to nought things that are:
Последнее обновление: 2012-05-06
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
nsis (idara ya usalama wa taifa) ni lazima iwaambie wakenya ni akina nani wanaorusha makombora katika makanisa na mikutano ya kidini, kama ni mambo ya siasa za kenya tunataka kujua. kama ni al shaabab jeshi lazima liamke, liwatumie mashushu wake katika kona hizo za giza kuanzia kismayu mpaka eastleigh na kusitisha hali hii kirahisi... tusijifanye wapole sana.
nsis must tell kenyans who is throwing grenades into churches and crusades, if it is a shadowy element of kenya's politics we want to know - if it is al shabab then military intelligence have to wake up, deploy undercover agents in the same dark corners from kismayu to eastleigh and terminate with extreme prejudice...let us stop playing nice.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Источник: