Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
lakini ninachokiona kwenu ni ubeuzi tu kwenye mbinu mnayotumia ambayo kwangu naiona kama isiyo na faida yoyote na ni ya kitoto...mnaweza kunishawishi kinyume chake?
but i only see nihilism in your approach which i find destructive and childish...could you convince me of the opposite?
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
sijaona agenda...kitu pekee ninachokiona ni kwa kiasi gani tunamchukia hun sen, na namna gani tunaichukia vietnam...thiyo ni kanuni ya janga, kuendekeza sana chuki.
i haven’t seen an agenda…the only thing i’ve seen is how much we hate hun sen, and how much we hate vietnam...that’s a formula for disaster, going in with so much hate.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
wanafurahi kwa sababu wanapambana na vikosi vya umoja wa afrika nchini somali, vikosi hivyo vimewazuria wapiganaji hao kuanzisha dola la kiislamu lenye kuongozwa na sharia ya kiislamu. ….ninachokiona ni raia wenzangu, binadamu ambao kikubwa walichokuwa wanakifanya ni kutazama mechi ya kandanda ambapo wengi wao wameuawa na wengine kujeruhiwa, wamefanyiwa hivyo kwa fikra na njozi ambazo pengine wala hawakuwahi kuziwazia, yaani vitendo ambavyo wala hawawezi kuvitawala au kuwa na ushawishi navyo.
because they are fighting african union troops in somalia, who have stopped them from establishing an islamic state under sharia law. ....what i see are country mates, human beings who were doing nothing worse than watching a football match who were killed and maimed, in the name of ideals that they may have no real thought about, actions that they cannot control in the least.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество: