Вы искали: ningependa tuwe nayo mara moja kwa wiki (Суахили - Английский)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

Swahili

English

Информация

Swahili

ningependa tuwe nayo mara moja kwa wiki

English

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

ujumbe huenda mara tatu, mara moja kwa kila dakika tano.

Английский

the message goes out three times, once every 5 minutes.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

wanasheria wengi wameonyesha kuguswa na yaliyomtokea pu na wametoa mwito wa kuachiwa mara moja kwa pu kupitia mtandao wa weibo.

Английский

many lawyers showed concern for pu and called for pu’s release on weibo.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

usambazaji wake wa mara moja moja kwa binadamu ni ajali na binadamu wanasalia kuwa wabebaji wa mwisho wa mers-cov wasioambukizana kwa sababu usambazaji wake hauwezi kudumu.

Английский

its sporadic transmission to humans is an accident and humans remain a dead-end host of mers-cov as its transmission cannot be sustained.

Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

rais wa zamani wa misri hosni mubarak amewahi kufa angalau mara moja kwa kila baada ya majuma machache tangu kuanza kwa mapinduzi ya misri, yaliyouangusha utawala wake uliodumu kwa miaka 32.

Английский

former egyptian president hosni mubarak has died at least once every few weeks since the beginning of the egyptian revolution, which toppled his 32-year reign.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

john wewe ni mpenzi / mpenzi wangu na kwa hivyo natarajia unipatie vitu kadhaa. tafadhali fikiria juu yake. atleast nitumie vitu hivyo vidogo mara moja kwa wakati nitakupenda milele

Английский

john you are my boyfriend /lover and so i expect you to provide for me some things. please think about it. atleast send me those small things once in a while i will love you forever

Последнее обновление: 2020-10-03
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

ninalitaka jeshi la mirsi kuchukua hatua za haraka na za kiwajibikaji kurudisha mamlaka kamili kwa serikali ya kiraia iliyochaguliwa kwa njia za kidemokrasia mara moja kwa njia za wazi na za pamoja, na kukwepa kumkamata rais morsi na wafuasi wake.

Английский

i now call on the egyptian military to move quickly and responsibly to return full authority back to a democratically elected civilian government as soon as possible through an inclusive and transparent process, and to avoid any arbitrary arrests of president morsy and his supporters.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

v rvinegar ni tovuti iliyotengenezwa kufuatilia maandamano na kukuza uungwaji mkono wa matukio hayo katika nchi husika: nchini brazil, kupinga uwepo wa polisi , na kusitishwa mara moja kwa vurugu nchini uturuki

Английский

v for vinegar is a website created to track protests and promote petitions about relevant causes in each country: in brazil, for the demilitarization of the police , and for the immediate end to the violence in turkey .

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

hata hivyo tangazo hilo liliporasimishwa katika mkutano na wanahabari uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, watu waliitikia mara moja kwenye twita, kadhalika yakaandikwa maoni kuhusu maoni yaliyotolewa.

Английский

however, when the announcement became official in a live televised press conference, the reaction became immediate on twitter, as well as the reaction to those reactions. after the dust settled, bloggers also began to provide their thoughts about the matter.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

inuka soja ni bidhaa ya kikaboni, inayolimwa na wakulima katika sehemu ya mashariki ya jamhuri ya kidemokrasia ya kongo. tunachakata na kufunga maharage bora ya soya ambayo yamechaguliwa na kuchomwa kwenye wasifu wa kati ili kukuruhusu kupata ladha zote kutoka kwenye maharage yetu ya soya. bidhaa yetu ina sifa ya unga wake mzuri na faida yake ya kutumiwa mara moja. tunafanya kampeni ili kusaidia maslahi ya wakazi wa eneo husika huku tukisisitiza ubora. kwa kununua soya hii, unachangia moja kwa moja

Английский

Последнее обновление: 2023-11-08
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Несколько пользовательских переводов с низким соответствием были скрыты.
Показать результаты с низким соответствием.

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,802,173,223 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK