Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
shuka kwenye gari
shuka kwenye gari
Последнее обновление: 2024-04-30
Частота использования: 1
Качество:
kufunga honi kwenye gari
car horn
Последнее обновление: 2023-09-12
Частота использования: 1
Качество:
nishushe kutoka kwenye gari
get me out of the car
Последнее обновление: 2024-03-06
Частота использования: 1
Качество:
kichwa kinauma sielewi hapa nipo kwenye gari
i don't know where i am in the car.
Последнее обновление: 2024-07-27
Частота использования: 1
Качество:
alipigwa risasi kutoka kwenye gari la kiraia.
he was shot from a civilian car.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
papa francis akipunga mono alipokuwa akipita akiwa kwenye gari la quirino.
the government says the strict security detail is a necessary precaution.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
pia hakukuwa na magari ya kutosha, kwa hiyo isingewezekana kumsafirisha mgonjwa mmoja peke yake kwenye gari.
there wasn't enough cars so we couldn't send one patient to tarchileik hospital with one car.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
baadae, maafisa wawili wa polisi walimburuta barabarani kwa sekunde 30 na kumtupia kwenye gari la polisi.
later, two police officers dragged him along the road for 30 seconds and threw him into a police detention van.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kwa hiyo, mgonjwa aliyepelekwa wa kwanza hadi kwenye gari, ilimlazimu kuendelea kusubiri ili wagonjwa wengine waletwe.
therefore, the patient who was sent first to the car had to wait for other patients to arrive.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
@bongocelebrity: wananchi wanaimba kwa nguvu wakisema wanataka wamshushe kwenye gari wambebe wenyewe!
it’s so painful to lose you our hero and the only existed steven kanumba 'the great'.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
nikafikiri kutembea mwendo unaotisha kuelekea kwenye gari na pia uwezekano wa kuwalipa kidogo kidogo kwa kutumia huduma ya kuhamisha salio kwa simu.
i thought of taking a much dreaded along walk to the car and also the possibility of paying partially by a telephone credit transfer.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
mwanablogu wa pnt attitude alitoa uzoefu wake kuhusu jinai katika makala ya hivi karibuni akielezea jinsi mkoba wake ulivyoibwa kutoka kwenye gari yake:
pnt attitude shared her experience with crime in a recent post describing how her hand bag was stolen from her car:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
dirisha la gari la besigye lilivunjwa kwa vitako vya bunduki na bomu la machozi pamoja na upupu wa pilipili vilipeperushwa kwenye gari kabla ya besigye kutupwa kwenye gari la polisi.
besigye’s car windows were smashed with gun butts and teargas and pepper spray were sprayed in the car before her was thrown on a police truck.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
dhamana imelipwa na tumemaliza urasimu wote na mwendesha mashitaka wa serikali na kituo cha pilisi na ahmed abdelrahman ameshuka kwenye gari la polisi na amekuwa kwenye kituo cha polisi kwa muda mrefu.
the bails have been paid and we have completed the formalities with the public prosecution and the police station and ahmed abdelrahman has left the police car and has been in the police station for a long period of time.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
taarifa kutoka waandishi wasio na mipaka inaashiria kuwa rti inaweza ikawa inatangaza kutokea kwenye gari lililoegeshwa kwenye nyumba ya mtu binafsi (fr).
a report from reporters sans frontières suggests that rti might be broadcasting from a mobile truck stationed in a private home (fr).
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
benjamin roger wa jeune afrique anaripoti kuwa wanajeshi 18, raia mmoja na magaidi wanne waliuawa mapema subuhi ya leo katika shambulio la mabomu ya kujitoa muhanga kwenye gari mjini agadez, niger tarehe 23 mei.
benjamin roger for jeune afrique reports that 18 soldiers, one civilian and four terrorists were killed early morning in an suicide car bombing in agadez, niger on may 23.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
@usiful_me: kwa hiyo, itakuwa nilifikiri tu kwamba nilikuwa karibu na mtu aliyepigwa risasi ya mpira mguuni na mwingine aliyetupwa kwenye gari dogo la wazi lililokuwa kwenye mwendo
@usiful_me: then, i must have imagined being close by guy being shot in leg by rubber bullet & another thrown off moving pick-up
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
nilipokataa kuingia garini, mmoja wa watu wale alinikunja kiganja cha mkono; na ndipo nilipogundua kuwa kujaribu kukwepa kukamatwa kusingekuwa na manufaa, hata hivyo walitumia nguvu kunifanya niingie kwenye gari na kisha katika siti ya nyuma, wanaume wawili walikaa kulia na kushoto kwangu.
when i resisted getting on to the vehicle one of the men twisted my wrist; at that moment i just recognized my fight not to be arrested is a futile one but i get on to the car defiantly then squeezed into the back seat in the middle of two men.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
baadaye, basi la shule lilikwenda kwenye ziwa dogo kuona viboko. lakini basi lilikwama kwenye matope! hatukuweza kusonga mbele na hatukuweza kushuka kwenye basi! "bila shaka! hippos inaweza kuwa mifugo, lakini bado ni wanyama pori na hatari." momo aliongezea. kwa hivyo ni dereva tu aliyeshuka kwenye basi na kwenda kupata msaada. alipokuwa anachelewa kurudi, momo na lolotte, walimu na wanafunzi wa darasa la nne walianza kuwa na wasiwasi
afterwards, the school bus went to a small lake to see some hippos. but the bus got stuck in the mud! we couldn't move forward and we couldn't get off the bus! "of course! hippos may be herbivores, but they are still wild and dangerous animals." momo added. so only the driver got out of the bus to go get help. as he was slow to return, momo and lolotte, the teachers and the fourth grade students started to worry.
Последнее обновление: 2022-04-10
Частота использования: 1
Качество:
Источник:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование