Вы искали: pia kukuza ushoroba wa kaskazini (Суахили - Английский)

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

pia kukuza ushoroba wa kaskazini

Английский

Последнее обновление: 2021-02-04
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

maeneo yaliyoathiriwa na ugonjwa huu zaidi, ni yale ya upande wa kaskazini mwa uganda.

Английский

the areas affected by the disease are mainly in the northern region of the country.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

mexico: mwanamke wa miaka 20 ni mkuu mpya wa polisi katika mji wa kaskazini mwa mexico

Английский

mexico: 20-year-old woman is new police chief of northern mexican town · global voices

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

hadi sasa ugojwa huu umeonekana zaidi katika baadhi ya maeneo ya nchi za sudani ya kusini,tanzania na upande wa kaskazini mwa uganda.

Английский

it is currently restricted to small regions in south sudan, tanzania and northern uganda.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

kama hatuwezi kubadili uongozi unaofunika udhaifu wake kwa mbinu za eti 'ukibaraka wa kaskazini', basi hatuna jawabu.

Английский

if we cant change the leadership which covers up every flaw with the "pro-north" tactic, we have no answer.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Суахили

sasa mbinu za kuwaita watu "wakomusnisti wekundu" na "vibaraka wa kaskazini" limekuwa jambo la kawaida siku hizi.

Английский

now the tactic of branding people "red commies" and "pro-north " has become a daily thing.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Суахили

majira ya saa 5 asubuhi, april 11, kampuni hii ilisitisha utoaji wa huduma katika mfumo wa mabomba wa kaskazini kwa lengo la kuyaondoa maji yaliyochanganyikana na kiasi kikubwa cha benzene.

Английский

april 11, it suspended operation of the northern ditch facilities to get rid of the benzene-polluted water.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

kila mmoja anamtuhumu mwenzake kuwa ni "kibaraka wa kaskazini" au "shushushu wa korea kaskazini" kila panapokuwa na hali ya kutokuelewana.

Английский

everyone accuses the other of being "pro-north" or "north korean spies" whenever there is a disagreement.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Суахили

victor alionesha uzalendo wa kweli kwa nchi yake hata pale alipokuwa akifanya kazi na taasisi ya straight talk foundation ya kampala, alipokuwa akikutana na watu katika shughuli zake aligundua kuwa watu wa kaskazini mwa uganda kuna mengine zaidi walistahili na walihitaji mbali na vipeperushi.

Английский

victor’s heart was home even when he worked with straight talk foundation in kampala, interacting with the people in the field made him realize that the people of northern uganda wanted more than hand outs but wanted and deserved more.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

mchangiaji wa global voices marc- andré boisvert aliandika kwenye mtandao wa twita kwamba shambulio kama hilo halikuwa linaepukika, kwa sababu mali bado inajitahidi kurudisha hali ya amani kwenye ukanda huo wa kaskazini:

Английский

global voices contributor marc- andré boisvert wrote on twitter that such an attack was inevitable, given that mali is still trying to re-establish peace in the northern region:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

mashambulizi hayo yaliyotokea muda ule ule kwenye kanisa la our lady of consolation na katika kanisa la protestant africa inland church katika mji wa kaskazini wa garissa yanakuwa matukio ya hivi karibuni zaidi katika matukio kadhaa tangu wanajeshi wa kenya walipopelekwa nchini somalia mwezi oktoba kuwaangamiza wapiganaji wa al-shaabab.

Английский

the simultaneous attacks on our lady of consolation cathedral and the protestant africa inland church in the northern town of garissa were the most recent in a series of incidents since kenyan troops were sent into somalia in october to crush al-shabaab militants.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

wakati kundi la wenyeji wa kaskazini mwa uganda, ambao waliathiriwa zaidi na uhalifu wake kony, walionyeshwa video ya invisible children katika onyesho la hadhara, hawakupendezwa na waliyoona katika video hilo, kama inavyoonekana katika video ya al jazeera english ifuatayo.

Английский

when a group of north ugandans, the main victims of kony's crimes, were showed the invisible children's video in a public screening, they were not particularly pleased with the content of the video as is seen in an al jazeera english video below.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Суахили

kwa mujibu wa kifungu cha 28(1) cha sheria ya usimamizi wa kodi nam.7 ya mwaka 2009.mamlaka ya mapato zanzibar (zra) inatoa mualiko wa kikao cha pamoja baina ya mamlaka ya mapato zanzibar (zra) na uongozi wa pan africa development company(paddco). mamlaka inakuomba kufika katika ofisi yake ya mkoa wa kaskazini unguja ofisi ya kiwengwa , mnamo tarehe 13/05/2024 saa 5:00 asubuhi bila ya kukosa. kufika kwako ndio mafanikio ya kikao hicho.

Английский

in terms of section 28(1) of the tax administration act nam.7 of 2009, the zanzibar revenue authority (zra) is inviting a joint session between the zanzibar revenue authority (zra) and the leadership of the pan africa development company(paddco). authorities are asking you to reach his office in the northern province of zanzibar district office, on 13/05/2024 at 5:00 am without missing. your arrival is the success of the session.

Последнее обновление: 2024-05-09
Частота использования: 1
Качество:

Источник: Анонимно

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,800,669,152 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK