Вы искали: port au prince (Суахили - Английский)

Компьютерный перевод

Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.

Swahili

English

Информация

Swahili

port au prince

English

 

От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:

Переводы пользователей

Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.

Добавить перевод

Суахили

Английский

Информация

Суахили

huko jijini port au prince, wengine bado wanajaribu kujikusanya.

Английский

on the ground in port au prince, others are still collecting themselves.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

richard morse anaandika jumbe za twita kutokea port au prince

Английский

richard morse is tweeting from port au prince

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

anaripoti kuhusu kanisa moja la mjini port au prince, anasema:

Английский

reporting on a specific port au prince church, he said:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

carrefour, kitongoji kikubwa cha jiji la port au prince, kipo kwenye mpaka na jimbo la leogane.

Английский

carrefour, a large suburb of port-au-prince, is on leogane state's border.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

taswira za mhimili zilizochukuliwa jana zinalinganishwa na taswira za jiji la port au prince na mazingira yake kabla ya tetemeko, kama vile hii hapa.

Английский

orbital images taken as recently as yesterday are being compared to images of port-au-prince and the environs before the quake, like this one.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

karibu kila taa imezimwa katrika mji wa port au prince… watu bado wanapiga mayowe lakini sauti zao zinafifia kadiri giza linavyotanda.

Английский

just about all the lights are out in port au prince.. people still screaming but the noise is dying as darkness sets.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

@fredodupoux aliweza kwenda kwenye wilaya ya delmas nje kidogo ya mji wa port au prince, eneo ambalo lilipokea athari kwa kishindo.

Английский

@fredodupoux ventured into the district of delmas outside of port au prince, an area which received the brunt of the damage.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

gazeti la nytimes limetengeneza ramani ya pande tatu yenye ufanisi mkubwa katika kuelewa ni wapi mji wa port au prince ulipo kiuhusiano na miamba ya haiti.

Английский

the nytimes has created a three-dimensional map that is extremely useful for understanding where port-au-prince lies in relation to haiti’s geology.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

baba mtu peña alikuwa akifanya kazi katika mji wa port au prince kama mhandisi katika kampuni ya ujenzi ya santo domingo mera, muñoz & fondeur.

Английский

the elder peña was working in port au prince as an engineer with the santo domingo construction firm mera, muñoz & fondeur.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование

Суахили

mpaka kufikia jana, barabara na madaraja yaliyobomoka viliendelea kulitenga eneo hilo na shughuli za kupokea misaada, jiji ambalo lipo karibu zaidi na kitovu cha tetemeko kuliko lilipo jiji la port au prince.

Английский

as of late yesterday, broken roads and bridges were still cutting off the area, which is closer to the epicenter than port au prince is, from receiving aid.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

lakini wiki hii foleni ndefu zilionekana nje ya ofisi za kutuma na kupokea pesa, kama vile katika ofisi hii ya cam katika carrefour, kusini-mashariki ya port au prince, kama ilivyopigwa picha na georgia poppelwell.

Английский

but this week long lines were visible outside money transfer offices, such as this cam office in carrefour, southeast of port au prince, photographed by gv's georgia poppelwell.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

baadhi ya watumiaji wa twita wanaripoti juu ya majengo, mitaa au taarifa nyingine za muhimu kwa wale wanaotafuta familia zao au wale wanaojaribu kusafiri ndani ya nchi hiyo. @yatalley anaandika kuwa barabara inayotoka mji mkuu, port au prince, kuelekea mji wa jacmel haipitiki.

Английский

some twitter users are reporting on specific buildings, streets, and other practical information for those looking for families or attempting to move throughout the country. @yatalley notes that the road from the capital, port-au-prince, to the town of jacmel is impassable:

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

crisis commons, mtandao wa wataalamu wa teknolojia ambo hutengeneza zana kwa ajili ya misaada ya dharura, imetangaza kuwa inaendesha mradi unaofanana ambao unaweka kwenye ramani jitihada zote za usambazaji misaada na kutengeneza ramani maalum ya janga inayoonyesha mahitaji ya mji mkuu wa haiti, port au prince, ili kuyawezesha mashirika ya misaada kuitumia ramani hiyo kama nyenzo ya kufanyia mipango.

Английский

crisis commons, a network of technology professionals that creates tools for humanitarian relief response, has announced that it has undertaken a similar project to map relief efforts and to generate a crisis-specific baseline map of haiti’s capital, port-au-prince, for relief agencies to use as planning reference.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Суахили

kulikuwa na zaidi ya mayatima 200,000 walikokuwa wakiishi jijini port-au-prince kabla ya tukio hili la majuzi, na kwa vyovyote vile unavyoyachukulia mambo haya - na ni magumu - na hakuna hata uingiliaji kati mmoja unaopuuzia mshikamano wa watu wa haiti au hamu yao ya kuwatunza watoto wao wenyewe.

Английский

there were more than 200,000 orphans living in port-au-prince before all of this began, and however you feel about these issues- and they are complicated- none of this intervention is meant to undermine the integrity of the haitian people or their desire to look after their own children.

Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:

Получите качественный перевод благодаря усилиям
7,774,095,270 пользователей

Сейчас пользователи ищут:



Для Вашего удобства мы используем файлы cookie. Факт перехода на данный сайт подтверждает Ваше согласие на использование cookies. Подробнее. OK