Обучается переводу с помощью примеров, переведенных людьми.
От: Машинный перевод
Предложите лучший перевод
Качество:
Добавлены профессиональными переводчиками и компаниями и на основе веб-страниц и открытых баз переводов.
hutatarajiwa kufanya kazi kwa saa za ziada ili kufikia makataa ambayo kwa sasa hayawezekani.
you will not be expected to work extra hours to meet deadlines which are now unrealistic.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
mara baada ya saa 1 jioni kwa saa za haiti, morse aliandika kwamba:
police sta, cathedral, downtown teleco, church st anne all destroyed".
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
mkutano huo wa kisiasa ulifanyika katikati ya mji wa antananarivo majira ya mchana, saa za madagaska.
the political gathering took place in downtown antananarivo around noon local time.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
alisema yeye alibishana na mtumishi mmoja wa cpvpv kama kuketi katika maeneo ya umma wakati wa saa za swala ilikuwa kosa.
he said he argued with the cpvpv member whether sitting at public places at prayer times was illegal.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
kabla ya saa 11 alfajiri, kwa saa za pakistani, jeshi lilitoa taarifa kwamba wavamizi wote 10 walikuwa wameuawa.
they were in contact with their family during the attack:
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ili kuzoea ukweli wetu mpya na matarajio ya saa za kufanya kazi kila siku, tunalenga kurekebisha muda wa uwasilishaji wa mpango wetu wa kila mwaka wa 2020-2021.
to adjust to our new reality and daily working hour expectations, we intend to adjust the timeline for the delivery of our 2020-2021 annual plan.
Последнее обновление: 2020-08-25
Частота использования: 1
Качество:
saa 9:34 usiku kwa saa za chile, tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 liliukumba mwambao wa eneo la maule nchini chile.
at 3:34 a.m. local time, an earthquake with a magnitude of 8.8 struck off the coast of the maule region in chile.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
ungana nasi moja kwa moja kwenye google hangout ijumaa, mei 22 (saa 9:30 alasiri kwa saa za gmt/utc)
join this live google hangout on friday, may 22 (3:30pm gmt/utc)
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
tetemeko la ardhi la wastani lilitikisa jiji la dhaka siku ya tarehe 27 julai mnamo muda wa saa 00:51 kwa saa za bangladeshi (+6 gmt).
a moderate earthquake jolted dhaka city on the 27th of july approximately at 00:51 hours bangladesh time (+6 gmt).
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
baada ya saa za mchana kupita, habari zilianza kuenea kupitia mitandao ya kijamii kwamba hali ilikuwa mbaya sana kwenye kituo cha kibiashara cha westgate, eneo moja wapo maarufu kwa wageni na wa-kenya wa tabaka la kati.
shortly after noon, news started trickling through the social network that something had gone horribly wrong at westgate mall, one of nairobi's most popular locations for foreigners and middle-class kenyans.
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
" “mtangazaji habari wa zamani wa televisheni ya misri na mwanaharakati bothaina kamel alitangaza kwenye ukurasa wake wa twita usiku wa ijumaa saa za cairo kwamba ana mipango ya kugombea urais kwenye duru inayofuata ya uchaguzi, na kumfanya awe mwanamke wa kwanza kutangaza nia ya kutaka kuingia kwenye ofisi kuu nchini misri", manar ammar
"former egyptian television anchor and activist bothaina kamel announced on her twitter account late friday evening cairo time that she plans to run for president in the next round of elections, making her the first woman ever to announce her candidacy for egypt’s highest office", manar ammar
Последнее обновление: 2016-02-24
Частота использования: 1
Качество:
Предупреждение: Содержит скрытое HTML-форматирование
Несколько пользовательских переводов с низким соответствием были скрыты.
Показать результаты с низким соответствием.